Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Serikali yamheshimiwa Magufuli kupelekwa mahakamani na ikishindikana katika mahakama za ndani basi kutumika mahakama za Kimataifa kama ile iliyopo Arusha.
Mashitaka hayo yatawahusisha wale wenye hati miliki na vielelezo mbalimbali vyenye nembo na mihuri ya serikali ambao hawana doa wala shaka kuwa walifuata taratibu zote hata kuungiwa umeme na maji ambako waungaji hujiridha kwanza kama upo katika maeneo yaliopiwa au kuruhusiwa kujenga kwa idhini ya serikali.
Asasi za mbalimbali zinazofuatilia mambo ya haki za kibinadamu wamelaani na wanaendelea kulaani vikali huku wakidai inawezekana waziri husika yupo kuichafua serikali na kuijengea chuki kwa wananchi na pia kukichafua chama cha ccm ambacho inasemekana hawakumpitisha kuwa mgombea.