Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Kiukweli tangu serikali isitishe ajira hasa za walimu ,manesi na madokta ambao kwa namna moja ama nyingine hawawezi kujiajiri hali imekua mbaya sana kwetu huku mtaani full kudhalilika
Elimu yetu inaonekana si lolote si chochote mbele ya jamii. Serikali nayo imekaa kimya daily maneno tu ya kuhakiki vijana tunadhalilika jamani watu wamekata tamaa wanakunywa tu pombe tena mataputapu na viroba ya Mia 300 au jero kupunguza stress ,Serikali isikie kilio cha vijana wake wajenzi wa taifa hili
HAPA KILIO TU