Uhakiki wa Vyeti: Bandarini nako kwawaka moto

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
Asante serikali ya Magufuli. Nazidi kuona watoto wa masikini wakipata kazi kwa haki...

Miaka mingi dhuluma ilizidi, sasa matumaini yanarejea kwa watoto wa masikini...
 

Attachments

  • 1469172488871.jpg
    1469172488871.jpg
    52.7 KB · Views: 372
Lets face it jamani. Nchi yetu inaweza kuwa Dubai ya Africa (in JK's voice)..unajua Kiukweli tukisema only qualified people should be employed both in public and private sector tutafika mbali? Sasa hili la kuhakiki vyeti kwa kweli sijui critics wa Magufuli mtalitetea vipi. Kiufupi Magufuli amejipanga.

Watu mrudi shule tuu jamani. Ujanja ujanja kwisha habari yake!
 
Nchi hii sasa itakuwa matabaka kwani matajiri hawana haki nchi hii hapa ni kuhakiki iwe tajiri au maskini hakuna tofauti. Magufuli ni Rais wa Tz sio tabaka fulani. Utajiri sio dhambi tunakoenda sio kuzuri. Muhimu ushindani wa kazi uwe sawa kwa wote. Tajiri akafanye kazi? Labda ni wale waliopata kazi kwa upendeleo au udanganyifu lkn watu wote wana haki nchi hii kutafuta kazi.
 
Lets face it jamani. Nchi yetu inaweza kuwa Dubai ya Africa (in JK's voice)..unajua Kiukweli tukisema only qualified people should be employed both in public and private sector tutafika mbali? Sasa hili la kuhakiki vyeti kwa kweli sijui critics wa Magufuli mtalitetea vipi. Kiufupi Magufuli amejipanga.

Watu mrudi shule tuu jamani. Ujanja ujanja kwisha habari yake!
ni kweli ngosha Masanja umenena kweli tupu aiseee
 
Wale waliokimbia Umande kwa kusingizia eti mara shule ipo mbali, mara usingizi mtamu, mara nikitaka kwenda shule mkojo unanibana, mara upewe ada ule na mademu, mara baba yangu au mama ni watu wakubwa, nk. anzeni kuisoma namba...
Mh! kwani na hao wako kwenye utumishi wa umma? si hawakusoma kabisa na hawana vyeti hao!
 
Villaza wote lazima waondoke! (in Mkulu's voice)
Lazima tujenge nchi yenye misingi imara na professionalism ya kweli.

Zoezi hili liwe endelevu from time to time, na liguse idara/office zote za umma.
Watu wapate kazi on merit & competence, sio akadabla na magumashi !

-Kaveli-
 
Kimbembe ni pale huyo "Afisa Rasilimali Watu Mkuu" anapojikuta na yeye ni muhanga wa notisi aliyowaandika (labda kwa shinikizo..) wafanyakazi wengine.

Vyeti ni janga. Wengi wamejisomea elimu za hapa na pale na kujikuta wana postgrad diplomas ila ukiwauliza vyeti vya form IV vilipo, vigugumizi vinaanza.
 
Back
Top Bottom