UHABA WA MAJI: Mama apambana na mamba hadi kufa

Kwanza pole sana kwa kuondokewa na MWANAO KIPENZI, pili Mungu azidi mjalia afya njema katika matibabu yake ila cha msingi ni kujifunza kuwa "Mungu hapangiwi muda wakumchukua MJA wake, hata akipata tatizo gumu kiasi gani mara ZOTE humuacha kwa kusudio la wengine kujifunza kutokana na lililo tokea, kazi ni kwa hawa WATOA ahadi kwa WATU MASIKINI VIJIJINI ili wapate KURA, Ilihali WAOMBAJI wanawazia "KULA" tu na si vinginevyo.
We acha tu
 
Back
Top Bottom