Uhaba wa maji katika Jangwa la Sahara ulichangia ugunduzi wa mafuta Afrika

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Kisima cha zamani cha maji katika Jangwa la Sahara nchini Libya.jpg

UHABA wa maji katika Jangwa la Sahara ndiyo chanzo kikubwa cha kugundulika kwa gesi na mafuta barani Afrika, FikraPevu inaripoti.

Inaelezwa pia kwamba, gesi ndiyo bidhaa ya kwanza kugundulika barani humo mwaka 1915 nchini Libya baada ya kuchimba visima virefu ikitafuta maji, ingawa Nigeria ndiyo nchi ya kwanza kabisa kufanya utafiti tangu mwaka 1907.

“Kutokana na hali ya jangwa, kulikuwa na shughuli nyingi za uchimbaji nchini Libya ambazo zilianza miaka mingi kabla hata ya kuhisi kuwepo kwa mafuta.
ISOME ZAIDI HUKU...
 
Back
Top Bottom