Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,227
- 26,047
Unaishi Dar au Chato?Kwa miaka mitano tangu 2015 mpaka 2020, Maji na umeme hayakuwahi kukatika hovyo Dar na Jua lilikuwa kali sana
JPM alisema watu wanafungulia maji makusudi mtera, na Mabwawa mengine ili tuwe na uhaba wa umeme na maji
JPM alifoka sana na alitoa onyo kali kwa wahusika, Ikawa ndio mwisho wa maji na umeme kukatika Tanzania
Leo biashara za visima, Generator na solar zimeanza
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Leo watu wananuka jasho Dar
Ukipata tatizo la tumbo ndio utajua JPM alikuwa Mwamba sana
Haya ya sasa tuliyapitia wakati wa kikwete mpaka 2015 mwishoni, Wakati wa Jakaya maji tulinunua sana, JPM ndie a lie badilisha mfumo maji na umeme ikawa sehemu ya maisha yetu
Lini maji hayakuwai kukatika hovyo Dar?