kalulukalunde
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,056
- 1,083
Maoni yangu Serikali izifanyie kazi hizi habari na kama ni hujuma basi wahusika wachukuliwe hatua kali za kisheria
Magazeti uchwara bona mafuta kibao mikoani uzushi uzushi tu.
Hah hah hah hah eti Rais bado sana mkuu umetishaa.Duh,baada ya sukari imekuwa mafuta tena.hii nchi inasonga kwa rivasi badala ya kwenda mbele.jana nimesaka mafuta vituo kumi na moja sijapata wese nimeamini hii nchi rais bado sana,haingii akilini hivi serikali inahujumiwaje Kila siku?
Nyumbuccm hawezi kukuelewa hata umtwange kwenye kinumkuu hakuna uzushi hapo,nikweli Kuna tatzo la mafuta kitaa
Nyumbu hawezi kukuelewa hata umtwange kwenye kinu
Ilianza sukari, sasa mafuta, then....... Mtaisoma namba mwaka huu.Magazeti uchwara bona mafuta kibao mikoani uzushi uzushi tu.
Elimu uchwara.Nyumbu hawezi kukuelewa hata umtwange kwenye kinu
Njaa pia inachangiaElimu uchwara.
Laana ya umaskini.CCM bhana, kila wakishindwa ku-deliver au ku -perform utasikia ni hujuma! Ukiwa na watu design ya CCM ambao kamwe hawataki kuwa accountable au responsible basi hio nchi ya viwanda itaishia ndotoni. Hawataki kukosolewa, hawakosei, they are smart kuliko mtu mwingine! Mmnghhhh kazi ipo!