Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,284
- 10,665
Walimu wa Arts wamejaa mkuu,sema mgawanyo wa walimu haupo fair.Wamerundikwa sehemu chache.Ukweli ni kwamba walimu wa arts bado wanahitajika mashuleni, ila nahisi kwa zama hizi si kipaumbele. Hili inadiscourage sana vijana waliopo vyuoni kwa masomo hayo. Kifupi kama Sera ni viwanda obviously, sayansi na Ufundi huenda ndo priority.
Kwa waliopo vyuoni wamalizie tu, ila kwa wanaodahiliwa sasa kwa arts huenda wategemee ajira 2027. Nawasilisha