Ugunduzi wa vifungashio badala ya plastic ni fursa yenye pesa nyingi

Mchele tunakula tu, ungekua unafungwa na unajua kabisa hii ni Kihurio, Kyela au Ifakara. Sasa hivi unategemea mdomo wa Mangi kujua unanunua Ifakar aai Kyela
Imagine!

Kwa wepesi kabisa wahusika wanaweza kuanza na Mchele ½ / 1Kg / 2Kg / 5Kg ukafungashwa vyema kabisa.

Maharage, Soya, Njugu, Njegere Safi ½ / 1Kg / 2Kg / 5Kg | Unga katika ujazo huo huo.

Nikichukua Mchele na Maharage nafika na kuosha tu.
 
Mchele tunakula tu, ungekua unafungwa na unajua kabisa hii ni Kihurio, Kyela au Ifakara. Sasa hivi unategemea mdomo wa Mangi kujua unanunua Ifakar aai Kyela.
Huwa najiuliza yapo maharage mazuri ,upo mchele mzuri super market ambao umechambuliwa na kufungashwa vizuri. Kwa nini hatununui ule? Ni wachache sana wanachukua. Je tunataka na huu mwingine wachambue, wafungashe bei iwe ile ile? Bado tunanunua na kupepeta na kuchambua kutoa mawe na chuya. Je hayo maharagwe ukichemsha kilo utauza bei gani?
 
Unaangalia bei ya sokoni iko vipi, demand ikiwa kubwa hata ukiweka sh 1,000 ya ziada kwa kilo utapata faida
 
Unaangalia bei ya sokoni iko vipi, demand ikiwa kubwa hata ukiweka sh 1,000 ya ziada kwa kilo utapata faida
Okay. Ni kweli demand inaweza kuwepo. Ukichukulia mfano maeneo ya chuo chuo si wengi wanapenda husles za kupika. Hata ukiwa na frozen kande at reasonable price watakula. Cha muhimu ni kujua wateja wako ni kina nani.
 
Back
Top Bottom