Ugunduzi wa Gesi na Mafuta Tanzania sasa gumzo katika vyombo vya habari vya kimataifa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugunduzi wa Gesi na Mafuta Tanzania sasa gumzo katika vyombo vya habari vya kimataifa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Honolulu, Jun 21, 2012.

 1. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Habari kuhusu ugunduzi wa gesi Tanzania imetawala vyombo vingi vya habari duniani kote mwezi huu. Hapa Marekani habari kuu ya biashara za kimataifa ilikuwa ni juu ya ugunduzi wa gesi Tanzania.

  Unaweza pia kona mwenyewe kwa ku google " Gas and oil discovery in Tanzania" utakutana na magazeti mengi duniani ambapo wengine wanaiona Tanzania sasa kama "energy giant in the globe".

  Kampuni ya Norway imegundua jumla ya cubic feet trillion 28 katika maeneo ya Lindi na Mtwara. Baadhi ya wachambuzi wa maswala ya kiuchumi wanabishana iwapo Tanzania iko tayari kwa utajiri mkubwa nanma hiyo! Imedhihirika wazi kwamba, sasa Tanzania inao uwezo wa kutosheleza mahitaji ya gesi kwa nchi za Ujerumani, ufaransa na Italia kwa mkupo kwa mwaka mzima. Ndio kusema kwamba utajiri wa gesi Tanzania ni zaidi ya ule wa Libya.

  Hoja ya majadiliano: Iwapo hadi sasa wananchi hawajayaona mafanikio makubwa katika sekta ya madini na utalii, je unadhani gesi yaweza kuwa chanzo cha uhakika cha kujikwamua katika lindi la umaskini? Nini kifanyike ili tuweze kufaidika na rasilimali hii?
   
 2. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa viongozi wa modeli hii wa CCM, hakutakuwa na unafuu wowote kwa mwananchi wa kawaida.
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  The Minerals aggreements ziliwekwa wakati wa Utawala wa Rais Mkapa na wakati huo Nchi ilikuwa na Madeni World Bank na IMF at the same time ilikuwa inataka Mkopo IMF; Mtego aliofanyiwa ni kuambiwa asain Mkataba wa Madini awape wawekezaji asilimia 100% atatoza kodi baadaye atachukua asilimia 3%; na Madeni yatakuwa nafuu lakini ndio hapo alipotufanya tuuliwe.

  Kwahiyo ni kosa la Uongozi Mmoja; Sasa hivi tumeeliewa sidhani kuna Rais mwingine atakayefanya Upuuzi huo; hata hii Mikataba ya GAS haita kuwa hivyo.

  Na Unaelewa kama Chama kingine kikichukuwa Madaraka; kitaamua kujadili hii Mikataba Upya au inawafungulia Milango waondoke Mfano mzuri ni Zambia... tunataka Mikataba kama walivyofanya Botswana, Mali, Ghana na Eritrea na inawezekana
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Wala sitegemei lolote jema kutokana na ugunduzi huo kwasababu ya vilaza hawa tunaokuwa nao!!!!!
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nasikia serikali ya Kikwete ina mipango ya kutoa leseni upesi upesi kwa maeneo yote ya madini kwa kampuni za kigeni ili kusiwepo mjadala tena wa umilikaji wa maeneo hayo hata kama serikali ya CCM itaondolewa madarakani.
   
 6. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongereni Watanzania mmeulaaa
   
 7. W

  Wanzagi Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Information distortion zimepitiliza maelezo makadirio ya jumla ya gesi asilia tanzania ni trillion cubic feet (tcf) 28. Hii namba inajumuisha Songo Songo, Mnazi Bay, BG/Ophir na StatOil discoveries. Ugunduzi wa Statoil uliotangazwa wiki iliyopita umeongeza makadirio ya block wanazo operate kufikia 9 tcf.

  It is true though the 9 tcf can fullfill all the supply for Italy, Germany and France. There combined annual demand is about the same as StatOil's 9 tcf
   
 8. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 9. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ataefaidika zaidi ni yule ataejituma zaidi. Ukibweteka utakula, utalala, utakunya, utasoma (ukitaka) lakini mafanikio ya ukweli yatabaki kwa wale wachapa kazi wa ukweli.

  Hii ni dhahiri hata nchi zenye utajiri kwa sasa, kuna wanaotegeneza fedha kwa wingi, kuna wanaosoma sana na kuna wanaopenda anasa bila kujituma, hawa wanabaki kula, kustarehe, kulewa, kutumia madawa ya kulevya. Jee, nani wa kulaumiwa?

  Nakumbuka maneno ya aliyewahi kuwa Mfalme wa Saudi Arabia (Marehem Fahd) alisema "kama kuna Msaudi maskini, basi huyo ana matatizo ya kichwa (mgonjwa wa akili) au ni mvivu wa (ajabu) kutupwa".

  Tuhakikishe tunasomesha sana watoto zetu na tunawafundisha kuto jiingiza kwenye anasa za kijinga (Lulu style) ili wasije kubweteka kwa uvivu.

  Serikali itapokuwa inakidhi mahitaji yake, sana sana itatowa huduma zile basic kwa wale itaobidi, wasio na kazi, wazee, wagonjwa, wanafunzi. Lakini kuwa na maisha ya kifahari kutategemea juhudi binafsi, na hii ni kokote duniani.
   
 11. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, wananchi kufanya kazi kwa juhudi na maarifa ni jambo jema sana! Lakini wewe unaonaje kuhusu siasa safi na uongozi bora? Hayo hayapo kwenye kamusi ya ubongo wako?
   
 12. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Isije ikawa tu kama ilivo Geita, maana kwa jinsi watu wanavyouawa na hakuna hatua zozote zinachukuliwa. Mi nadhani chini ya CCM madini yangeachwa tuu, sidhani kama yamekuwa ya manufaa kwetu, wakati huohuo tukiwa tunakamata namba tatu kwa kukopa nyuma ya Afghanistan na Iraq nchi zilizokuwa na vita.
   
 13. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kwa nchi kama Tanzania tusitegemee mambo makubwa sana wadau. Hakutakuwa na jipya wala nini. Tuwe makini tuikatae CCM haya yote yatakwisha vinginevyo tuhesabu maumivu tu.
   
 14. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mbona umetoka nje ya mjadala wa Gas na Oil ndugu?
   
 15. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
 16. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,475
  Trophy Points: 280
  hìi ges bora ingegunduliwa wakati kikwete hayupo madarakani.!
   
 17. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Angalia msiwarudishe wazenj.watakuwa na bahati mbaya kwani watakuwa wameshawauzia waarabu kila kitu.Watakuja kulia tena kuwa kuna vitu vya muungano hatukuwapa vyote.
  siwashangai kwani watu waliochagua mfumo km wao dunia nzima wanalilia social welfare kuwa iwe kwa style ya kuwapa dau
   
 18. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,625
  Likes Received: 2,003
  Trophy Points: 280
  Huko ndo huwa wanaichaguwa ccm mara zote,wanatakiwa wapate somo kutoka sehemu nchini mwetu zenye rasilimali,lakini si wananchi wenye kunufaika nazo,Taifa halina manufaa nazo,maybe a few people,that's it.

  Solution ni kubadili chama.
   
 19. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Duh, yaani imeshakuwa hivi? Ama kweli uwezo wa kujidanganya au kudanganyika tunao!
   
 20. B

  Bob G JF Bronze Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwani hapo bado watanzania wamo? Mikataba bwana? tutaliwa tena na tena
   
Loading...