Ugunduzi nilioufanya katika elimu ya bongo

mporoto

Member
Dec 12, 2012
86
74
Mimi kama raia wa kawaida nimegundua kuwa baadhi ya wanaojiita wasomi hapa bongo wengi wao mikononi wanavyeti kichwani wamejaa sex! pamoja na hayo haya mambo ya vyeti vyeti hayajawahi kumuacha mtu salama!

fff44906c7664e6c5b12ba98add53807.jpg
 
wanaodisi wasomi wengi ni waliofeli shule,

karisiti tu mkuu nawe uitwe msomi.

koromije sec kuna private candidate center
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom