#COVID19 Ugumu wa zoezi la kuchanja unatokana na unafiki wa viongozi wenyewe na halitafanikiwa

Nov 23, 2021
94
150
Zoezi la chanjo limekosa mwitikio kutokana na viongozi wanaolisimamia na kulipigia kampeni zoezi hilo kuonekana ni wanafiki wasio kuwa na misimamo,na hii ni kuanzia kwa Rais Samia mwenyewe.

Kauli walzozitoa kabla ya hayati Magufuli kufariki na walizozitoa baada ya hayati Magufuli kufariki ni kitanzi chao.

Wananchi bado wanakumbuka jinsi hayati Magufuli alivyowavusha katika janga hili la uviko 19.

Kitu kingine ni ukweli uliodhahiri, kwamba ukichanjwa uwezekano wa kuambukizwa ni mkubwa, pia kuibuka kwa kirusi kipya kila uchao.

Kadhalika Wananchi wanaamini hizi chanjo ni za majaribio na hawako tayari kufanyiwa majaribio.

Waziri wa afya anatakiwa ajiudhuru chanjo imemuumbua
 
GwaB

JF-Expert Member
Mar 19, 2014
2,267
2,000
Zoezi la chanjo limekosa mwitikio kutokana na viongozi wanaolisimamia na kulipigia kampeni zoezi hilo kuonekana ni wanafiki wasio kuwa na misimamo,na hii ni kuanzia kwa Rais Samia mwenyewe.

Kauli walzozitoa kabla ya hayati Magufuli kufariki na walizozitoa baada ya hayati Magufuli kufariki ni kitanzi chao.

Wananchi bado wanakumbuka jinsi hayati Magufuli alivyowavusha katika janga hili la uviko 19

Kitu kingine ni ukweli uliodhahiri, kwamba ukichanjwa uwezekano wa kuambukizwa ni mkubwa,
pia kuibuka kwa kirusi kipya kila uchao .

Kadhalika Wananchi wanaamini hizi chanjo ni za majaribio na hawako tayari kufanyiwa majaribio.

Waziri wa afya anatakiwa ajiudhuru chanjo imemuumbua
Nimemsikia leo waziri wa afya akitoa tamko kwamba, waajiriwa wenye mamlaka Serikalini kama hawajachanja... waachie ngazi!. Nimejiuliza sana, nikaishia kupata kizungu zugu. Mimi nadhani Serikali ingeweka kwenye maandishi kuwa asiyechanja aache kazi...Ingependeza zaidi. :oops:
🤔
 
Nov 23, 2021
94
150
Nimemsikia leo waziri wa afya akitoa tamko kwamba, waajiriwa wanye mamlaka Serikalini kama hawajachanja... waachie ngazi!. Nimejiuliza sana, nikaishia kupata kizungu zugu. Mimi nadhani Serikali ingeweka kwenye maandishi kuwa asiyechanja aache kazi...Ingependeza zaidi. :oops:
Waziri Gwajima na naibu wake Mollel hawana hadhi kwa sasa ya wadhifa huo ,wanatakiwa wajiudhuru au watenguliwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom