Ugumu wa maisha unasababishwa na nini?

James alamba

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
216
106
Tuondoe tofauti za uchama wetu na siasi pia...Embu tuambizane ukweli ugumu wa maisha unasababishwa na nini?
 
Hela zimebanwa na serikali fedha zimepelekwa kwenye miradi ya maendeleo na siyo kwenye matumizi ya kawaida na ndiyo maana mzunguko wa fedha mtaani ni mdogo
 
Tuondoe tofauti za uchama wetu na siasi pia...Embu tuambizane ukweli ugumu wa maisha unasababishwa na nini?
Ilo swali wanatakiwa watujibu CCM kwani wao c ndo wameng'a ng'ania kutuongoza,Mwenyekiti wa chama tawala ndo wakujibu ilo swali
 
Kwan ccm ndio wanatuleteaga pesa majumbani au tunatafuta wenyewe
 
Mimi nilisema ngoja sikukuu tu ipite, wataanza maisha magumu, nchi inakwenda gizani.
 
Tuondoe tofauti za uchama wetu na siasi pia...Embu tuambizane ukweli ugumu wa maisha unasababishwa na nini?
Ugumu wa maisha umetokana na mazoea ya kuishi kwa kupiga deal badala ya kubajeti kipato chetu halali; kwa hiyo basi kwa sababu mfereji huo umekatwa, hicho kipato cha upigaji hakuna tunajikuta tunapata ugumu kuishi kwa bajeti ya vipato vyetu halali!
Ni hali ya mpito tu lakini tufanye kazi na kujifunza kuishi ndani ya wigo wa vipato vyetu halali, zama za kupiga dili sio awamu hii.
 
Asante
 
  • Thanks
Reactions: MTK
unasababishwa na kuendeleza matumizi yaleyale ya kipind kile cha dili wakat nyakat zishachenji
 
Huu ni mwendelezo wa lini akili na asili ya kuishi vitakaa pamoja, hakuna maisha ya mteremko kwa sasa , tupange malengo, mapato na matumizi kwa uadilifu mkubwa ponda Mali kufa kwaja ni hataree!!!
 
Back
Top Bottom