Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,733
- 239,338
Naomba nikiri kwamba tangu nipate akili sikumbuki mwaka ambao maonyesho ya kimataifa ya biashara yakipigiwa debe mitaani mithili ya onyesho la FM ACADEMIA TCC CLUB .
Ni dhahiri kwamba mamlaka zinazohusika zimenusa njaa kali mitaani kiasi cha kushawishika kupiga debe mithili ya daladala za Tandika - Kariakoo.
Kampeni hiyo ya kushawishi wananchi kuhudhuria maonesho hayo inaendelea mitaa yote ya wilaya ya Temeke, walio mitaani ni mashahidi.