Ugumu wa maisha kwa akina dada niwakujitakia.

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,014
1,498
habari zenu wakuu?Dunia imetuchanganya tena imetuchanganya sana,si mwanaume si mwanamke, ni mchakamchaka kila mmoja anatafuta. nilazima uhangaike ili upate unachokitaka, kama utategemea mwengine ahangaike kwa ajili yako basi uwe tayari kukupa atakacho yeye. Naam!!kwa sisi wanaume ni suala la lazima ila kwa wanawake ni shida yakujitakia. hatuna jinsi nilazima tutumike kwa ajili yetu sisi wenyewe na kwaajili ya vilivyo vyetu. Kiuhalisia mwanamke ni sehemu ya mwili wa mwanaume, hivyo mwili ni mmoja,kama ndivyo, basi awezaje mwanaume kujitenga na mwanamke!?maana kiungo kimoja katika mwili kinapopatwa na tatizo mwili mzima unatatizika!! nakinachomlinda zaidi ili asitengwe na mwanaume ni hiki kitu,naweza kusema "hazina" kiungo cha uzazi.kilichowekwa kwake kwa niaba ya mwanaume, kwakua mwanamke ni sehemu ya mwili wa mwanaume ndio kusema na hiyo hazina ni milki ya mwanaume, milki ambayo hayupo tayari kuipoteza, piga ua. mwanaume yu radhi ashinde njaa,aibe,anyang'anye,atapeli na lolote linalowezekana nalisilowezekana ili kuilinda nafsi yake ambayo ndani yake yupo mwanamke, ni sawa na mzazi na mtoto, yupo tayari afe yeye mwanae abaki hai.kiburi,ujuaji na kujiona wanajimudu ndio sababu kubwa kwa wanawake walio wengi kuadhibiwa na ulimwengu.kibaya zaidi ni kwamba hakuna kurudi nyuma, mambo ni mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom