Ugumu wa maisha katika awamu hii

3:Kuondoa posho kwa wafanyakazi wa serikali na kuzuia kufanya mikutano na vikao kwenye mahotel,hii imepunguza ajira na mzunguko wa pesa hasa ukizingatia Kuwa hotel nyingi hutegemea viongozi na watu Sawa na hao, hivyo hotel nyingi zimefungwa na nyingine kupunguza watendaji.

na kupelekea mikutano kufanyika kwenye boardrooms.......ambazo zilijengwa kwa ajili hiyo.......na kusababisha popo kukosa makazi............
 
Back
Top Bottom