Rahim Jr
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 561
- 281
Wakuu amani iwe nanyi poleni na majukum ya kila siku. Class mate wangu ameniuliza swali kiukweli nmeshindwa kumjibu. Anasema tangu ameajiriwa miaka 7iliyopita hajawahi kuishi kwa kutegemea dili au rushwa kazini kwake,kipato chake ni mshahara tu.Sasa anasema kwa mwaka huu mambo yamekuwa magumu sana,hawezi kufanya maendeleo yoyote zaidi ya kulipa madeni tu.Na kila siku ugumu wa maisha kwake unaongezeka sana,sasa ananiuliza hii hali ni kwake tu au hata kwangu??? Je kwako hali ikoje.......