Ugumu au Ubora wa Chuo ni Idadi ya Disco ama?

Feb 27, 2017
83
52
Wanajamvi, naomba kuuliza, hivi kupima au kujua Chuo kuwa ni bora kielimu au pagumu tunatumia kigezo cha idadi ya wanafunzi wanaokuwa discontinued kutokana na academic performance au kinatumika kigezo gani?
Maana Vyuo vingine utasikia ugumu wake au ubora wake they base kwenye number of discontinued students.
 
Mleta mada unazungumzia Ugumu au Ubora..Kwa sababu ubora sio sawa na ugumu,be specific kipi unataka tujadili.

Kwa upande wangu..Chuo bora hupimwa kwa kuangalia output ya wanafunzi wake.Chuo bora kinazalisha wanafunzi bora
 
Ubora wa chuo tunaangalia idadi ya wasomi wakufunzi wa vyuo husika(idadi ya maprofesa na madokta) na machapisho ya elimu yaliyotolewa na wakufunzi wa vyuo husika na productivity ya wasomi waliopitia vyuo husika...Mara nyingi vyuo bora(vyenye wasomi wengi &machapiso mengi yaelimu )ndo hivyohivyo ambao idadi ya wanafunzi wanaodisco inakua kubwa
 
Back
Top Bottom