Ugonjwa wa zinaa unaofanya uume ukatike. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugonjwa wa zinaa unaofanya uume ukatike.

Discussion in 'JF Doctor' started by Nazjaz, Apr 10, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Nimesikia kuna ugonjwa unaitwa pangusa, mwanaume akiwa nao na asipopata matibabu kwa wakati basi uume wake huanza kukatika vipande na kutoweka kabisa.
  Je kwa wanawake dalili za ugonjwa huu ni zipi? Na ni yepi madhara yanayoweza kumpata dada aliyeathirika na gonjwa hili?
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanawake wanaoshambuliwa na ugonjwa huu hukatika vinembe. Mikoa iliyoathiriwa sana ni Arusha, Dodoma, Mara, Manyara na Singida. Ukikutana na mwanamke kutoka mikoa hiyo halafu hana ANTENA atakuzuga kuwa amekeketwa kumbe ni pangusa
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hee, makubwa!!!!!!!!!!!!!
   
 4. c

  chibidula Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  si vizuri kuweka upupu humu maana watu wanatafuta Elimu, kama huna cha kuchangia then nyamaza!!
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hajaongea upupu, kuna huo ugonjwa kweli, uume unalika sana na sehemu za kike zinamöng'onyoka. Matiti nayo yanapoteza mwonekano. Mimi niliona kwenye magazine. Sikufatilia zaidi ila hapa madaktari wanaweza wakawa washaelewa kinachoongelewa.
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  je kuuliza ni upupu? Je hamna ugonjwa waitwa pangusa? Kukumbuka kuuliza si ujinga
   
 7. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  si kweli wanawake wanakatika antenna, most of women do not show symptoms.
   
 8. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Pangusa ni "Chancroid". Lakini si kweli kwamba viungo vinakatika. Labda vinalika kutokana na vidonda, na ugonjwa unapona kwa antibiotics.

  Si kweli bwana Head prefect. Kama wanawake kwenye mikoa hiyo watakuwa wameathirika na pangusa, athari hiyo si pia itawapata wanaume wao? Nadhani hawajaathrika na ugonjwa ila na MILA.
   
 9. s

  shoshte Senior Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo ugonjwa unaitwa chancroid au pangusa dalili zake kwa mwanaume nikipere kinachouma sana sehemu yoyote kwenye sehemu ya uume na kinatokea baada ya siku nne hadi nane baada ya kujamiana na mwanamke mwenye na hao wadudau wanaosmabsiha ugnjwa huu wanaitwa H.ducrey. kwa wanawake dalili huchelewa kuonekana ila navyo ni vipere vinavyouma sana.tiba yake ni antibiotic sana sana doxycline
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Duhhhhhhh
   
Loading...