Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Duu, pole mkuu,

Mimi vimenisumbua kwa zaidi ya miaka 10. Kuna jamaa kanitibu kwa dawa asili na nimepona.

Niliweka uzi hapa ili wengine wenye shida kama hiyo wapate msaada Mods wakaifuta nahisi ni kwa kuhofia utapeli mwingi.
Kiongozi niombe kujua dawa uliyotumia ukapona hii kitu.
 
Duu, pole mkuu,

Mimi vimenisumbua kwa zaidi ya miaka 10. Kuna jamaa kanitibu kwa dawa asili na nimepona.

Niliweka uzi hapa ili wengine wenye shida kama hiyo wapate msaada Mods wakaifuta nahisi ni kwa kuhofia utapeli mwingi.
Tusaidie basi na Sisi bro tupone maana hatari kwakweli

Sent from my Mi Note 10 using JamiiForums mobile app
 
Upo wapi mdau? Kama upo jirani na Makambako nitafute nikuoneshe hiyo dawa. Ni bure kabisa. No charges.
 
Kwa yoyote anayejua dawa ya asili ya vidonda vya tumbo naomba anijuze tafadhari
Asali pia ni dawa unachanganya na kuna Dawa ya mti fulani hivi kwa kweli jina lake silijui ila ipo vizuri sana ,nilienda mkoani nikaenda mwenyewe kuchimba huo mzizi alafu inatwangwa inakuwa kama unga ndio unatumia ukishachanganya na Asali,upo maeneo gani nikupe bure kabisa hii dawa maana nilibakisha baada ya mgonjwa kuona amepona.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
NikoDar es laam
 
Back
Top Bottom