Ugonjwa wa Tetekuwanga (Chicken Pox): Maambukizi, dalili, madhara na tiba

Pole sana.
Kunywa na ogea mchunga.
Kunywa juice ya ukwaju kutwa mara tatu.

Vikishapona na kukauka, utakuwa na madoa mwili mzima. ivo itakubidi upake mafuta ya bio oil mwili mzima asubuhi na jioni kwa muda wa miezi 3, Madoa yote yatatoka.

naongei ivo kwa uzoefu.
 
Wanajamvi khabariii.

Msaada kama kuna mwenye kufaham dawa ya matete kuwanga.

Mimi ninatumiaga tyuu ukwaju sasa yametoka nje.

NAOMBENI USHAURI NDUGU ZANGU.
 
wanajanvi khabariii.......
msaada kama kuna mwenye kufaham dawa ya matete kuwanga.. Mimi ninatumiaga tyuu ukwaju sasa yametoka nje.........NAOMBENI USHAURI NDUGU ZANGU....

Tafuta Manii ( Shahawa ) Za Nyoka Aina Ya Chatu Dume Kisha Pakaa Utapona Wewe Na Hakuna Tena Mtu Wa Kizazi Chako Atakayekuja Kuugua Tena Huo Ugonjwa Milele Na Milele. Pole Sana Mkuu Lakini!
 
Pole sana. Nimeelewa ni kama ulishaugua siku za nyuma, lakini kwa jinsi ilivyo ugonjwa wa tete kuwanga huwa haujirudii kwa mtu
 
uchukue manyonyo utwange kisha upake huwa yanakuwa kama mafuta utapona sema ukishaugua mara moja huwa hayajirudii tena
 
Ngoja niusome huu uzi kwa umakini maana mwanangu kaupata huu ugonjwa leo na namuonea huruma anavyoteseka.
 
Magonjwa ya zamani yanaanza kurudi,wiki hii nilimtebelea binamu yangu, cha kushangza nikaona mtoto wake anaugua ugonjwa wa tetekuwanga(sijui kitaalamu wanauitaje).Sijawahi kuuona mgonjwa wa tetekuwanga karibuni miaka kumi na tisa iliyopita.Zamani ilikuwa ni rahisi kusikia magonjwa kama surua,mapunywe,kifaduro,kwashakoo,tetenasi,tezi la shingo,pepopunda,wadudu chawa,funza,mba nk.

je kunasababishwa kukosekana kwa chanjo?
 
Tetekuwanga haina chanjo
Chanjo yake ni ukiugua mara moja ndio haujirudii tena maishan mwako. Ukigua ndo unakua umejiwekea chanjo

Huo ndio uzoefu wangu mimi pia ndio nilivyoambiwa na marehemu Mama
Haina chanjo kweli ukiugua ndio kinga inajijenga...
 
Wasalaam aleikum ndugu zangu wapenzii...!!

Kama headings ilivo jamani naumwa huoo ugonjwa vibayaa mnoo Leo siku ya tanoo ... surangu haitizamikii...

Naombenii mwenye kujua dawa anisaidie....natesekaa..mwenzenuu...Nina vipele mdomoni adi kwenye urethra... sjaenda lecture wiki hii nzimaa..

Naombenii mnisaidieee....niwe mzimaa teenaa..!! natangulizaa shukranii zangu za dhatii
 
Nakumbuka nipo chuo mwaka wa kwanza halafu test inakaribia nilipatwa na tetekwanga ase nilikuwa najikwangua ukutani penye chipping

Dawa ni moja tu usidanganyike nenda kapate sindano zinakuwa 5 ,mm nilichoma mpk 4 nikapona ya 5 nikapotezea

Ase nilisumbuka cna huu ugonjwa mby sana dah unawashwa masaa 24..hzo sindano kiboko ndn ya siku ,2 ushapoa..hayo mengine sijui majivu,dawa potezea utakesha na hzo vipele
 
Back
Top Bottom