nilichukia sana..maana nimuugua ukubwani
makovu yalichukua muda sana kuisha
nimewahi ugua ni hatari sana, sikujua kama ni ugonjwa gani hadi mwanafunzi mwenzangu akaniambia niende hospitali unaumwa tetekuwanga.sikuingia darasani siku kadhaa maana nilikua na vidonda kichwani na sehemu zingine za mwili. Uzuri wake matibabu ni rahisi kupata.
Mkuu Makovu Huwa Hayapotei Yale Yanakuwa Tokea Ndani Kwa Hiyo Huwa Hayatoki Sema Kadri Unavyokuwa Ndio Yanavyopungua
Sikuwahi kuugua huo ugonjwa japokuwa wadogo zangu wote waliugua! Sielewi hata ilikuwaje.
Una bahati hukupata coz ukianza kwa mmoja lazima mwingine upate unless ushaupata lakini kama hujawahi ugua nasikia lazima uupate hata ukiwa mkubwa kuna friend yangu aliupata tukiwa third year.
Hivi Kuna Ukweli Kwamba Usipougua Utotoni Lazima Ukupate Ukubwani?