Habar, naomba kufahamishwa PID ni ugonjwa gani, unasababishwa na nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Pelvic Inflammatory Disease.... For detail Google utajua causes, effects na treatment
Habar, naomba kufahamishwa PID ni ugonjwa gani, unasababishwa na nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ufupi ni ugonjwa/magonjwa yatokanayo na kujamiiana na mtu haswa kwa mwanamke anakuwa amekaa nayo kwa kipindi kirefu bila kupata matibabu.Habar, naomba kufahamishwa PID ni ugonjwa gani, unasababishwa na nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ufupi ni ugonjwa/magonjwa yatokanayo na kujamiiana na mtu haswa kwa mwanamke anakuwa amekaa nayo kwa kipindi kirefu bila kupata matibabu.
Na ukiambiwa una PID ina maana ugonjwa umefikia hatua ambayo ni mbaya na unaweza ukakusababishia ugumba, so inatakiwa kutibu mapema.
NB: PID 99.9% huwapata wanawake.