Ugonjwa Wa PID

Pelvic Inflammatory Disease.... For detail Google utajua causes, effects na treatment

Sio kila mtu ataelewa google na information kama hizi mara nyingi zinahitaji kuelezwa kwa lugha nyepesi itayoeleweka kwa Mwananchi wa kawaida

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habar, naomba kufahamishwa PID ni ugonjwa gani, unasababishwa na nn?

Sent using Jamii Forums mobile app

Pelvic Inflammatory Disease au PID ni moja ya ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bacteria kama Chlamydia trachomatis Neisseria gonorrhoeae

maambukizi hutokea kwenye pelvic kwenda hadi katika mji wa mimba,mirija ya follapiani na katika ovari

dalili zake ni maumivu ya tumbo chini ya kitovu, maumivu wakati wa kukojoa,maumivu wakati wa tendo la ndoa,kutokwa na uchafu katika uke, muda mwingine kichefu chefu na kupelekea kutapika

TIBA Cefixime 400mg kila baada ya masaa 6
Doxycycline 100mg kila baada ya masaa 12
Metronidazole 400mg kila baada ya masaa 12

ANGALIZO:
Doxycycline na Metronidazole hatumpi mama mjamzito

mwisho Fata ushauri wa Daktari Asante
 
Habar, naomba kufahamishwa PID ni ugonjwa gani, unasababishwa na nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ufupi ni ugonjwa/magonjwa yatokanayo na kujamiiana na mtu haswa kwa mwanamke anakuwa amekaa nayo kwa kipindi kirefu bila kupata matibabu.

Na ukiambiwa una PID ina maana ugonjwa umefikia hatua ambayo ni mbaya na unaweza ukakusababishia ugumba, so inatakiwa kutibu mapema.

NB: PID 99.9% huwapata wanawake.
 
sio asilimia 99.9% tu ni 100%

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom