Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

4 foreign pilgrims die of swine flu
Sunday 22 November 2009 (05 Dhul Hijjah 1430)

Arab News MAKKAH: Four foreign pilgrims have died of swine flu, the Health Ministry announced on Saturday. It identified the dead as a Moroccan woman, a Sudanese man, an Indian man (all aged 75), and a 17-year-old Nigerian girl, the Saudi Press Agency reported.
The ministry said the four had not followed “recommended procedures, especially vaccination against H1N1.” The Sudanese pilgrim, who died in Madinah, developed symptoms of the disease four days after arriving in the Kingdom. The man failed to visit Saudi health facilities after contracting the virus.
The Nigerian girl got the disease two days after arriving in Madinah. “She was admitted to hospital with pulmonary failure and high sugar level, which demanded quick medical intervention. She was taken to the intensive care unit and given necessary treatment but died the same day because of her worsening condition,” the ministry said.
The Indian pilgrim, who died in Makkah, was suffering from heart diseases in addition to swine flu. “He was admitted to intensive care unit and given necessary medication but failed to recover.” The Moroccan woman who died in a Madinah hospital was also suffering from liver cancer, the ministry pointed out.

================================

Haya mpenzi wa Islam Source toka Saudia hiyo hapo sema kingine sasa.

Ninyi hapa Tanzania mmepata HABARI ZA WAISLAMU KUFA KWA MAFUA YA NGURUWE KUPTIA MAJIRA GAZETI MAARUFU TANZANIA NZIMA.

SAS KULE WATU WA SAUDIA WAMEPETA HABARI KAMA HIZI KUPTIA GAZETI GANI MAARUFU NCHINI KWAO?

TUPE JINA LA GAZETI HILO SIO MANENO YA Arab News MAKKAH.

HII NDIO SOURCE YA GANI YA GAZETI MAARUFU KULE SAUDIA ARABIA?
 
Hivi hukuiona hii source ya rmashauri http://news.bbc.co.uk/2/hi/middle_east/8372378.stm au wewe huwa usomi post za watu?
 
][/B]eti hawali nguruwe,

Sasa unataka aya, wewe si ulikuwa unadai uonyeshwe wapi ushaidi kutoka Macca, sasa umesha badilika mara hii.

Vipi allah wenu aruhusu watu kufa na ugonjwa wa mafua tena ya nguruwe?

Mbona una problem ya kuwa msaulifu mkubwa MARA HII UMESAHAU ULIYOSEMA HAPO JUU.

SASA NIAMBIE NI NANI ALIY BADILIKA PUNDE?

SWALI LIKO PALE PALE TAFADHALI TUPE AYA KUTOKA QURANI INAYO RUHUSU MWISLAMU KULA NGURUWE ILI NAMI NIWEZE KUANZISHA SOKO NA KIOSK YA NGURUWE?

TAFADHALI USISITE KUONYESHA AYA YENYE KUTOA KIBALI MWISLAMU KULA NGURUWE
 
Kusoma bila shaka nimesoma hii source YA BBC NEWS mkuu wako alliyoweka.

LAKINI SWALI INAYO HITAJI KUJIBIWA NI HAO WATU WA BBC NEWS WAMEPATA HABARI HIZI KUPTIA SOURCE GANI YA SAUDIA?

MBONA HALIKUWEKWA WAZI

Health ministry ya Saudia spokesman Dr Khaled Marghlani ndie aliye sema kutokana na source ya BBC.
 
Health ministry ya Saudia spokesman Dr Khaled Marghlani ndie aliye sema kutokana na source ya BBC.

Hata kama imsemwa na Rais au Imam Mkuu wa Saudia Arabia,

SWALI IKO PALE PALE KAMA GAZETI YETU YA MAJIRA HAO BBC WAMEPATA STATEMENTS HIZI ZA HEALTH MINISTRY KUPITIA VYOMBO GANI VYA HABARI VYA SAUDI ARABIA?

Wewe rafiki yangu mbona unakuwa kichwa ngumu? Kwani waandishi wa habari hupata taarifa kutoka wapi? Si kwa watu wanaohusika la suala lenyewe? Yaani unataka chombo cha habari kipate habari kutoka chombo cha habari na hicho chombo cha habari cha pili kitakuwa kimepata taarifa kutoka wapi? Hapa umeona kuwa watu wa wizara ya afya ya Saudia ndo wametoa habari bado huwaamini tu? Lol!
 
23 november 2009 06:52 mecca,saudi arabia
maofisa wa serikali ya saudi arabia wamesema,mahujaji wanne wamekufa kwa homa ya mafua ya nguruwe wakati wakihudhuria ibada ya hijja inayofanyika katika mji mtakatifu wa mecca.

Source:majira

4 foreign pilgrims die of swine flu
sunday 22 november 2009 (05 dhul hijjah 1430)

arab news makkah:
haya mpenzi wa islam source toka saudia hiyo hapo sema kingine sasa.

swine flu kills four in saudi arabia on hajj pilgrimage
four pilgrims have died of swine flu as they take part in this year's annual mecca pilgrimage, saudi officials say.

bbc inayo haya kusema four pilgrims have died of swine flu as they take part in this year's annual mecca pilgrimage, saudi officials say
source: http://news.bbc.co.uk/2/hi/middle_east/8372378.stm

health ministry ya saudia spokesman dr khaled marghlani ndie aliye sema kutokana na source ya bbc.

wewe rafiki yangu mbona unakuwa kichwa ngumu? Kwani waandishi wa habari hupata taarifa kutoka wapi? Si kwa watu wanaohusika la suala lenyewe? Yaani unataka chombo cha habari kipate habari kutoka chombo cha habari na hicho chombo cha habari cha pili kitakuwa kimepata taarifa kutoka wapi? hapa umeona kuwa watu wa wizara ya afya ya saudia ndo wametoa habari bado huwaamini tu? lol!

maofisa wa serikali ya saudi arabia

arab news makkah: .

saudi officials say

health ministry ya saudia

hapa umeona kuwa watu wa wizara ya afya ya saudia ndo wametoa habari bado huwaamini tu? lol!

sasa naomba nieleze ni nani mwenye bichwa ngumu wenye kuamini ta'arifa yenye kutatanisha au wenye kupinga ta'arifa yenye msuguano?

[/size]

[/color][/size]
[/color][/size]
[/color][/size][/color][/size]

[/color]
[/color]

sasa naomba nieleze ni nani mwenye bichwa ngumu wenye kuamini ta'arifa yenye kutatanisha au wenye kupinga ta'arifa yenye msuguano?

Wewe ndie mwenye BICHWA GUMU , unaye pinga habari za kutoka jikoni na si kwa waandishi wa habari wa kisaudia. lol
 
So far, four pilgrims have died from swine flu since arriving in Saudi Arabia, and 67 others have been diagnosed with the virus, Saudi Health Minister Abdullah al-Rabeeah told the English version of the Arab news network Al-Jazeera.
 
Kwanza kabisa nasema ahsante sana kwa kuamini MIMI MWENYE BICHWA GUMU.

PILI NAPENDA KUULIZA Hivi mkuu umesoma vizuri post yangu #29.AU UMEPITIA JUU JUU TU?

UTASEMAJE PINDI WAKRISTO WAIMBAJI WA KWAYA AU INJIL WENYE KWENDA KUHIJI YERUSALEMU.KISHA ITATOKA HABARI KWAMBA WAIMBAJI WA KWAYA AU INJILI WANNE AU WATANO WAME AGA DUNIA KWA MARADH YA UKIMWI NA WENGINE WAKO HOI BIN TABAAN HOSPITALINI?

KWA HIYO JE!HAITA KUWA JAMBO LA BUSARA KWA WENYE AKILI KUPELELEZA HABARI HIZI KWANZA KABLA YA KUAMINI?.
 
Star TV Wametoa habari moto moto saa 4:27 juu ya Ugonjwa wa Mafua ya Nguruwe Kuibuka Mkoani Mwanza aambapo watu 142 - wakiwa wanafunzi, walimu na baadhi ya wazazi katika shule ya msingi Ilula, Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza wamethibitika kuugua ugonjwa huo, kama alivyonukuliwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dk Meshack Mmasi.

Pia Idara ya Afya Mkoani Mwanza imeweka kambi katika shule hiyo ya msingi ili kukabiliana na tatizo hilo na pia Dk Mmasi anasema hakuna kifo kilichotokea hadi wakati anatoa taarifa hii.

Lakini Gazeti la Mwananchi jana lilimnukuru Msemaji wa wizzara ya Afya kuwa kwa sasa - hakuna mgonjwa hata mmoja -- na kwamba ugonjwa huo umetoweka kwa wakati huu tangu uingie Tanzania Mwezi julai Mwaka huu.
 
Wenye uelewa leteni taarifa za kujikinga na MAFUA YA KITIMOTOOOOOS
 
Kwanza kabisa nasema ahsante sana kwa kuamini MIMI MWENYE BICHWA GUMU.

PILI NAPENDA KUULIZA Hivi mkuu umesoma vizuri post yangu #29.AU UMEPITIA JUU JUU TU?

UTASEMAJE PINDI WAKRISTO WAIMBAJI WA KWAYA AU INJIL WENYE KWENDA KUHIJI YERUSALEMU.KISHA ITATOKA HABARI KWAMBA WAIMBAJI WA KWAYA AU INJILI WANNE AU WATANO WAME AGA DUNIA KWA MARADH YA UKIMWI NA WENGINE WAKO HOI BIN TABAAN HOSPITALINI?

KWA HIYO JE!HAITA KUWA JAMBO LA BUSARA KWA WENYE AKILI KUPELELEZA HABARI HIZI KWANZA KABLA YA KUAMINI?.

Sasa unaamini kuwa ndugu zako walikufa na ugonjwa wa mafua ya nguruwe haramu?

Kama sasa unaamini, ni kivipi, ndugu zako wapate ugonjwa haramu wa mafua bila ya kula hiyo nyama haramu ya nguruwe wakiwa Macca?
 
Kama wewe unayo jipya TOA AYA KUTOKA QURANI INAYOMRUHUSU MWISLAMU KULA NGURUWE?.

MIMI NITAKUWA TAYARI KUANZISHA SOKO LA NGURUWE RIGHT NOW.

ZAIDI YA HAPO NAPENDA KUKUHOJI
WEWE UNAYO USHAHIDI GANI KUTILIA NGUVU MADAI YAKO KWAMBA KILA MWISLAMU ANAYE KUFA KWA MAFUA YA NGURUWE NI WALA NGURUWE.

HAO NDUGU ZAKO WAKRISTO WENGI WALIKUFA ULIKO ANZIA HIYO SWINE FLU NA KWENDA MAREKANI NA SEHEMU NYINGI NCHI ZA KIKRISTO WAMEKUFA KWA KULA NGURUWE AU KWA KUAMBUKIZWA?

WEWE UNAYO USHAHIDI GANI KUTIBITISHA KWAMBA WAKRISTO WOTE NI WALA NGURUWE?

KWA USHAHIDI GANI WA ANDIKO KUTOKA BIBLIA YENU ASILIMIA KUBWA YA WAKRISTO WANA KULA PORK?

HAYA LETE USHUHUDA WAKO KAMA KWELI MIMI MWENYE KUONA AIBU.

Sasa unaamini kuwa ndugu zako walikufa na ugonjwa wa mafua ya nguruwe haramu?

Kama sasa unaamini, ni kivipi, ndugu zako wapate ugonjwa haramu wa mafua bila ya kula hiyo nyama haramu ya nguruwe wakiwa Macca?

Kabla kuuliza maswali KWANZA TOA MAJIBU YA POST YANGU #18 ULIZO PEWA MBONA MMEKWEPA KUJIBU?

JIBU LA SWALI YAKO YA POST HII UTAPATA BILA WASIWASI BAADA WEWE KUJIBU POST YANGU #18.SAWA

KIMKAZO NAULIZA KWA MTAZAMO WAKO KAMA MWENYE KUFA KWA UGONJWA YA MAFUA YA NGURUWE INATOKANA NA KULA NGURUWE BASI

VIPI KUHUSU WATOTO WADOGO WA NDUGU ZAKO WAKRISTO WALIOKUFA NCHI NAKWINGINEKO AMBAYO HIYO UGONJWA ILIKO ANZIA NAO WALIKUFA KWA KULA NYAMA HARAMU YA NGURUWE?

HAYA TUNASUBIRI MAJIBU USIPO JIBU ITA ELEWEKA YENYEWE KINAGA UBAGA
 
The issue here is still the same.

Kwanini Allah wako aruhusu wafuasi wake wafe kwa MAFUA YA NGURUWE HARAMU, TENA WAKIWA MACCA HUKU WAKIMSWALIA MAREHEMU MUHAM-MAD?
 
Poleni sana mwanza.

Hapa ni sehemu ya wananfunzi wachache kati ya 120 ambao wameugua ugonjwa huo wakipatiwa matibabu shuleni kwao Ilula.
 
Attachments

  • MF .07.JPG
    MF .07.JPG
    152.8 KB · Views: 53
  • MF .09.JPG
    MF .09.JPG
    167.1 KB · Views: 42
jamani mwenzenu nahisi dalili mbaya za mafua, nina mafua kwa wiki sasa, nasikia homa, napiga chafya japo si mala kwa mala mwili najisikia umechoka sana na pia kichwa kinauma. mbaya zaidi na mtoto wangu wa 3yrs na yeye pia ana mafua na leo kaniambia baba kichwa kinauma kweli. nataka nikacheck am so worried especialy kwa mtoto.
 
Back
Top Bottom