Ugonjwa wa mafua na kikohozi kwa watoto Chini ya mwaka Milano.

SINGLE MAN

Member
Jul 1, 2012
38
6
JF Dictors naomba mnisaidie, mwanangu ana miaka mitatu anasumbuliwa sana na mafua na kikohozi. Nampa dawa anapona baada ya wiki mbili au tatu ugonjwa uNarudi.
Nifanyeje jamani? Msaada tafadhali.
 
mi wa kwangu ana miezi 2 tu, tangu azaliwe kakaa takriban wiki tu Mafua na kikohozi kikamjia, tukaenda zahanat tukapata dawa lakin haijamsaidia, anaweza kupata nafuu siku moja tu baada ya hapo matatizo ni palepale
 
Angalia mazingira ya chumba epuka vumbi,perfume,usimuogeshe na sabun zenye harufu,epuka feni,coz bado mdogo si vizur kupewa madawa figo zake hazina nguvu ya kuhimili dawa
 
JF Dictors naomba mnisaidie, mwanangu ana miaka mitatu anasumbuliwa sana na mafua na kikohozi. Nampa dawa anapona baada ya wiki mbili au tatu ugonjwa uNarudi.
Nifanyeje jamani? Msaada tafadhali.
Pole me wangu alisumbua sana akiwa mdogo now ni 3yr tatizo limepungua kiasi kikubwa mno niligundua baridi kwa dar kipindi cha mvua ni kibaya,alafu maji asichezee kabisa wala kunywa vitu vya barid na jitahid kumpa asali mara tatu kwa siku changanya na ndimu na tangawizi na magadi kiduchu coz ni mtoto vitamsaidia
 
mi wa kwangu ana miezi 2 tu, tangu azaliwe kakaa takriban wiki tu Mafua na kikohozi kikamjia, tukaenda zahanat tukapata dawa lakin haijamsaidia, anaweza kupata nafuu siku moja tu baada ya hapo matatizo ni palepale
Jaribuni kuwa makini sana na mazingira yanayomzunguka mtt, ktk magonjwa ambayo yanaambukiza kwa urahisi ni hayo jamii ya Mafua si kwa wakubwa au watoto,

Ss mtt wa miezi 2 asee immune system yake bado ipo weak sana kulinganisha na yako, pia usiogope kuzuia kumpa mtt mtu ukihisi anadalili ya mafua au ugonjwa wwte hata wa ngozi.....kwenye kikohozi hapo pia na hewa anayovuta inaweza kuchangia kumletea hao kikohozi, hapo inategemea pia anakohoa vipi.

ni vyema kuwapeleka hospitali/daktari wa watt mapema.

Poleni sana
 
ahsante sana mkuu kwa ushauri wako!
 
Back
Top Bottom