Ugonjwa wa kutokwa vipele kisogoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugonjwa wa kutokwa vipele kisogoni

Discussion in 'JF Doctor' started by cjilo, Aug 5, 2012.

 1. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  JF DCTORS;

  naomba msaada wenu, mimi nina vipele flani kisogoni, ni vile ambavyo watu wengi huwtoka wakati wakinyoa kwa wengi hupona baada ya muda mfupi, lakini kwangu haikuwa hivyo vipo mpaka sasa ni mwaka wa tisa na kila siku vinazidi kuongezeka, nmeshawahi kumuona dr. mmoja pale udsm akanambia kuwa haviponi hivyo nisijaribu kuvichezea tu havitakua, nkaona haitoshi nkaenda kairuki kuonana na specialist wa pale nae akanambia haviponi ila kuna dawa yeye anatengeneza ya ku-mix chemicals hiyo anaiuza yeye tsh. laki tano na unatumia hiyo dawa kwa mda wa miezi sita mpaka mwaka mmoja,kwa uwezo wangu nikawa nmeshindwa kuipata.

  Hivi vipele haviumu ila vinanikosesha uhuru na kuniaribia pozi mida flani hivi na kila siku vinaongezeka, nmeshawahi kumuona mtu akiwa na li-nyama likubwa kisogoni ambayo ni baada ya vipele hivi kufikia stage ya mwisho ya ukuaji, naomba msaada wenu jamani hata kwa dawa ya asili
   
 2. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Pole kaka, subiri madr ingawa wengi wamekimbia nchi
   
 3. themagainst

  themagainst Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  inaweza ikawa
  1.fangasi kutoka kwa vinyozi
  2.keloid scar
  kama uvimbe mkubwa matibabu ni plastic surgery
   
 4. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  Hiyo inawezekana mkuu, kule kwetu vijijini ilikuwa ni tatizo la kawaida kwa kuwa tulikuwa tunanyolewa na vinyozi wa nyembe za kawaida na ilikuwa nywele zikianza kuota tu vinapona, mimi mara ya mwisho nilinyoa saloon kwa mashine kabisa, na nilivyovipata nkajua vitapona tu kama kawaida kumbe sio kawaida mpaka leo bado vipo, nnchoogopa zaidi hivi vinakua kwa kasi sikuhizi
   
 5. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Inaitwa Folliculitis nuchae. Mtafute Dr. Mgonda hapo Dar, nadhani huwa na kliniki Aga Khan.
   
 6. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Nilipata vipele hivyo kwa kinyozi. Nilichofanya niliacha kwenda salon, nikanunua vifaa vyangu vya kunyolea nyumbani.

  Vipele vilidumu kwa miaka kama 3 au 4 hivi, nilichukuwa mdalasini na asali nakoroga kisha napaka kwa kusugua kwa nguvu jioni baada ya kuoga, vilianza kupungua na baadaye vilitoweka kabisa.
   
 7. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  Kwa mpaka ulikofikia nakushukuru sana, unaweza ukani-pm number yake ya simu ili iwe rahisi zaidi kumpata? tafadhali
   
 8. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  nashukuru sana kwa ushauri mkuu, Ya kwako ya kiasili zaidi na ndo ambayo naitaka, kwani za hospital nilishauriwa na watu nitumie dawa mbali mbali vilikuwa kweli vinapungua ila baada ya mda vinaongezeka tena, je kabla ya kufanya hivyo ulipata ushauri kwa mtu kwamba utumie hivyo au wewe mwenyewe tu? Viwango vya vipimo ulivyokuwa unatumia vilikuwaje, yaani ulikuwa unapimaje?
   
 9. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole kaka hata mimi nina shida hiyo mwaka wa 10 pia sasa nimeshatumia kila dawa ila vinaisha na kurudi. Vinaharibu pozi hasa hasa hasa
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Pole mkubwa nishaona watu kama wa3 hv wenye problem kama yako!
   
 11. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  dah,kumbe ni janga kwa watu wengi....wapi mkuu MziziMkavu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,021
  Likes Received: 2,633
  Trophy Points: 280
  Paka medicated cream inaitwa Betacort-N,nilikuwa navyo vikapotea jumla,sasa sijui vyako viko kwenye extent gani,kwani mimi vilishanitokea kama mara mbili na nilipotumia hiyo dawa ika-work very successful.
   
 13. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pole sana ndugu yangu.Mimi nilikuwa navyo nimetumia dawa moja kutoka Bk NIMEPONA KASIBA wao BK wanaita nshundo.Anyway nPM nikupedata zaidi na jinsi tunaweza kuwasiliana
   
 14. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  Nakumbuka nmeshawahi kutumia hiyo dawa kipindi cha mwanzoni kabisa tena nilikuwa natumia na dawa flani ya kumeza,sikumbuki jina ila ilikuwa ya kijani kijani hivi, ilikuwa vinapungua tu, dawa ikiisha vinarudi kama kawa ikafika kipindi nkachoka, nkabadilisha dawa nyingine nayo hali kadhalika, nilichoona hizo dawa zinatuliza tu baada ya muda vinarudi kama kawaida
   
 15. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  tayari ndugu, nasubiri kusikia kutoka kwako
   
 16. Kayla

  Kayla JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  itabidi nimshauri mume wangu atumie ulivyotumia,na yeye vinamsumbua sana,kila mara anapaka dawa vinapona akienda salun tu vinarudi
   
 17. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  unataka akupm ili umpe jina la dawa, unaona ukiweka hapa peupe watu watafaidika? watu wabinafsi bwana...saidia wenzio wenye tatizo, kuna wengi hapa wanahitaji kama hilo, hapa ni jf where we dare to talk openly, sasa mambo ya sirisiri ya kupm ya nini? weka jina hapa peupe ili watu walijue wakatafute iyo dawa, kwani wewe pia si unafaidia na vingi tu vya wenzio wanaoweka mambo mazuri hapa na haulipii chochote kwao?....acha ubinafsi.
   
Loading...