Ugonjwa wa Kutokujiamini ni mbaya sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugonjwa wa Kutokujiamini ni mbaya sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hassan J. Mosoka, Jan 16, 2011.

 1. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Pale Kalimjee ndugu zetu wa Dini ile wamesema wamechoka kunyanyaswa na wanataka mgawanyo wa madaraka nusu kwa nusu, bila kufafanua hii nusu kwa nusu ni Pamoja na Wapagani, Wahindu, Rastars, Wabudha na dini zingine kibao zilizopo Bongo.
  La pili nadhani wamesahau nusu kwa nusu haitaishia kwa dini bali pia makabila yetu yapate nusu kwa nusu madaraka! hahahahahahaha mawazo ya kijinga.
  Tanzania ya leo waislamu wameshika ofisi nyeti zote hebu angalia;
  Rais, Makamu wa Rais, Jaji Mkuu, IGP, Rais wa Zanzibar na Makamu wote wawili, Hazina, Ulinzi, Usalama wa ndani,na hata ngazi za juu chama cha kijani.!!!!!!

  Kama hawajaona hili hata uwape Kila kazi bado watalalamika kuwa wanaonewa na Wakristo. Jamani you guys be serious and build up your confidence.
   
 2. B

  Bull JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungekuwa unaufaamu wa kutosha usingeangaika kuelewa madai yao, labda nikufungue kichwa kidogo,
  pale dunia au kikwete alipoahidi kuingiza wanawake wabunge na sehemu nyingine wawe atleast 50% nayo hukuelewa ?

  Simply waislam wako majority nchini na uwakilishi wao sehemu nyingi za kazi hauwaridhshii, hii inabidi ijibiwe kwa hoja sio matusi au kujifanya uelewi wanacho ongea

  Nchi ya demecracy, Gay and lesbian group, religions, women and othe activities groups, wote wanahaki ya kuleta madai yao ya aina yoyote, nakama waislam wamekuja na haya inaonyesha nchi yetu inakuwa na inaendelea kidemocrasia,

  Hence tuwajibu kwa hoja sio matusi
   
 3. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Bull you must be sick, who told you that opportunities are granted?? Opportunities are taken and you must prove it through your qualifications not through your beliefs, tribes or relatives. we can't build a country whereby people will be enrolled because of their beliefs. Ndiyo maana wakristo hawapigi kelele for the positions a I mentioned above.
  Waislam kama ni majority na kitabu kimepanda who will deny them positions?? How comes watu ambao ni majority and well organized, educated wasumbuliwe na minority??
   
 4. B

  Bull JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Bilashaka unajua South Sudan Egypt na sehemu nyingine wakiristo wanapigana kwa kudai haki kama hizo wanazodai waislam, wanawake nao pia wanamadai kama haya duniani wanataka wanawake wapewe nafasi zaidi, ma-Gay community, kwa hiyo sio kushangaashangaa


  Na hizo group zote(women, gay, ethinci minority n.k) sio kwamaba hawakusoma isipokuwa kwao inakuwa vigumu ku-penetrate system dume au amabayo imejengwa tayari na watu fulani

  Waislam wakona haki ya kudai, kinachotakiwa ni kujadili huja zao kitaalam na sio mitusi
   
 5. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mwanzo wa matatizo
   
 6. V

  Vipaji Senior Member

  #6
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2009
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umaskini; njaa; elimu ndogo; uvivu wa kufikiri; kutokujua haki zetu za msingi ni adui mbaya sana wa maisha ya waafrika walio wengi na ndipo walipoangukia hawa wanaolalama: Hata ukiwaambia ombeni lolote serikali iwatendee nini watasema mtupatie wali na nyama na soda baridi: Oh! Hatari sana!!!!!!!!
   
 7. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,788
  Likes Received: 6,302
  Trophy Points: 280
  Waislamu wapo ha haki ya kudai nafasi za kazi nusu kwa nusu? nani kakwambia? Usipotoshe.

  Umejibiwa vizuri tu........... Oportunities are NOT granted. Opportunities are taken and you must prove it through your qualifications.

  Hata hao wanawake au makundi mengine ya kijamii sio kwamba wanapewa nafasi tu kwa kwa kuwa ni ''wanawake''

   
 8. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Mpaka na watindiga/wahadzabe nao watatoka polini kama madaraka yanagawiwa gawiwa tu bila vigezo.
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  naangalia tu jinsi kansa hii inavo sambaa kwa kasi,Mungu aniepushe na madhara yake yatakapo anza mda mfupi ujao
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160

  Hivi unajua waislamu wa Sudan wamewafanya nini wakristo hadi dunia ikaridhia na kuunga mkono nchi igawanywe???unajua wameteswa namna gani wakristo huko Egypt na mara ngapi wanauawa bila sababu na hawana hata guts za kusema dni zao wakati mwingine???nimefanya kazi Sudan,usiongee coz nakuhakikishia hujui unalolisema,waislamu wa Tanzania mnanyimwa haki gani???mbona mnataka kutufikisha kusiko jamani??kwanza umesema nyie ndo majority,una hakika na unalolisema manake hata mwanafunzi wa darasa la tano shule ya msingi anajua sivyo,na msitafute kabisa ubaya,manake kuna maofisi nasikia wanapendelea waislamu,siku wakristo wakifanya hilo,mtatafuta pa kuhamia mkafanye kazi.....its time,muwe realistic,muweke kabisa hizo fikra za kuwa mnaonewa pembeni,kama ni shule nendeni,nafasi muhimu pambaneni na wakristo na acheni kusubiri mgawo....mbona hao wenye nafasi waislamu wamepewa,its because they QUALIFY.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,343
  Likes Received: 19,522
  Trophy Points: 280
  KAMA vipi rais wa bara alkiwa mwislam basi wa bara awez mkristo vile vile na makamu wa rais na maehad master tukawane pasu pasu ila kwa wale wenye qualification tu
   
 12. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #12
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  These guys are stupid, let call spade, spade, sometime we carefully choose words how to deal with these terrorists!

  They have inherited inferiority complex, now I see why Nyerere did all what he did

  Today Muslims have schools, colleges,univeristies, they have their own teachers and they are getting fund from middle east! guys you can not imagine what is happening in these institutions! WHY
  1. Wavivu
  2. wanawaza ngono
  3. wanawaza madrasa wakati watoto wa wengine wako nursery
  4. majority are messengers and cleaners simply because of poor education
  5. ngumi kila siku misikitini
  6. wanafunzi wao wa kike wanakatisha masomo kwa sababu ya MIMBA....Thaqlain mbagala ni mfano mzuri, sekondari wanaanza 40, wanamaliza nane, 32 wamepata ujauzito!!!

  I swear kama ningezaliwa wa dini hii, ningehama au kususa

  Tunaenda dunia isiyo ya kiserikali ya nchi, where money is power even if you are not president. matajiri, makampuni, viwanda watataka wasomi tu IN SUCH WAY many muslims will always be down and inferior class, however educated muslims they act like non-educated muslims!

  WAACHENI ndio mtaji wa wakristo, let them waste time kwenye uongozi, hata kama kila kiongozi nchi hii atapewa mwislamu, kama hawana elimu watahitaji msaada tu! dunia ya globalisation badala ya watu kuwaza kujikwamua ki-elimu wanawaza upuuzi tu

  ningeelewa sana kama shule za kiislamu zingekuwa zinafanya vizuri, lakini wapi, WAKITATUA KWANZAMATATIZO YA NDANI then waende nje,

  dini zingine KINYAA!
   
 13. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Jamani msiangaike kuwajibu hao!! Dunia ya sasa siyo ile ya miaka ya 60's.
  Serikali ina play just small role kwenye employment......waambie waende pale vodacom waseme kua wao ni waislamu wapewe ajira waone kama kuna huo ujinga japo inamilikiwa na huyu fisadi anayechochea hizi mada za kidini humu.
   
 14. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ndugu wana JF, kuhusu historia ya Sudan... naombeni kabla ya kuchangia mkaisome vizuri historia ya hiyo nchi wakati ikiwa chini ya waingereza, na ndio maana ikafika hapa ilipo sasa hivi!!!!
   
 15. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Watakuumiza kichwa hao! waambie waende ITV au Cluds FM wakaombe kazi kama watakataliwa lakini ngoja John aende Azam akaombe kazi! lakini hawaishi kulalamika wakati wao ndio wanaonyanyasa wenzao wa kristo. Shule na mahospitali mengi ya kikristo yanawapokea kwa mikono miwili waislamu kwani ni wa Tanzania na hawatopewa kikwazo chochote.
   
 16. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umewasahau kuwataja wengine! Abdurahmani Kinanana, Yusuf makamba na zaidi raisi majuzi alifanya uteuzi wa wabunge katika nafasi kumi alizopewa kwa mujibu wa Ibara ya 66 (1) (e) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na bila kufanya ajizi aliwateua waisilamu watatu. Moja, Shamsi Vuai Nahodha, Pili, Zakia Megji na Tatu, Profesa Makame Mnyaa!
   
 17. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Waacheni wafu wazike Wafu wenzao.

  Mtu atakaye kunifuata sharti aache kila kitu alichonacho na anifuate.
   
Loading...