Ugonjwa wa Kucheka (mashuleni) ni nini haswa?

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,262
--WanaJF, naomba kujua undani wa huu ugonjwa wa kucheka...

--unasababishwa na nini?

--unatibiwa vipi?

--kwanini mara nyingi unazikumba shule za boarding za wasichana?

Ahsante.


SteveD.
 
I actually forgot the name of haka kaugonjwa ila as soon as I get the name nitakupa.Kwa kiswashili nadhani unaeza ita mfadhaiko.Unasababishwa hasa pale ambapo shule ni single sex na hawa interact na opposite sex has shule za kike.Psychological advise ndio dawa.
 
sexual dissatisfication........!
use vibrators & water sprays or massage.......!
 
hysteria......!

It's true nimewahi kusikia shule moja ya wasichana Loleza mbeya waliwahi kutokewa na hilo tatizo miaka ya 90 uongozi ikabidi kuandaa at least social activities zitakazowahusisha na wanafunzi wa kiume kama vile music/disco na pia kuruhusu week ends wanafunzi kutoka nje ya shule kwa madai ya kwenda kutafuta mahitaji muhimu!!!!!!?????? Sijasikia tena kama hilo tatizo limejirudia but nashindwa kujua link ya hysteria na interaction na opposite sex..
 
--WanaJF, naomba kujua undani wa huu ugonjwa wa kucheka...

--unasababishwa na nini?

--unatibiwa vipi?

--kwanini mara nyingi unazikumba shule za boarding za wasichana?

Ahsante.


SteveD.

...very interesting subject,

halafu umegundua kucheka 'kunaambukiza'?

chk the article below...


Mass hysteria is the sociopsychological phenomenon. It is describes as the manifestation of the same hysterical symptoms by more than one person. It is also referred to as collective hysteria. It may begin when a group witnesses one individual becoming hysterical during an extremely stressful or a traumatic event. A potential symptom is group nausea, which happens when a person becomes violently ill and triggers a similar reaction in other group members
 
Hey SteveD am facing problems posting the link but I will try my level best.
 
Nafikiri haya ni mapepo tu ya ngono zenu. hamna cha saikolojia wala nini. mapepo mahaba yakiwakamata ndo mnachekacheka hovyo.
 
Nafikiri ni kutokana na kutopata mahitaji muhimu ya kingono........yanatokea kwa wasichana sana na dawa yake ni......
 
Haya Ni Mambo Ya Kuendekeza, Nilisoma Kwenye Seminari Za Kanisa Katoliki Kwa Miaka 4, Hakuna Likizo Wala Oppsite Sex Ila Mara Moja Kwa Mwka

Watawa Wale Wa Kikatoliki, Walikuwa Wanasisitiza Extra Curriccula Activies Kama Njia Moja Wapo Ya Kuachana Na Huo Ujinga, Yaani Ratiba Ya Masomo, Ikifuatiliwa Na Kazi, Kusali, Kuimba, Michezo Nakadhalika.

Hsteria Itakuwa Tatizo Hasa Kwa Shul Za Kina Dada Kwa Kuwa Hakuna Shughuli Za Kufanya, Mpaka Chumbani Kunadekiwa Na Wafanyakazi.
Seminari, Pamoja Na Masomo, Nilikuwa Nahudumia Shamba La Miwa Kama Robo Eka, Nacheza Volley Ball....

Saa Ngapi Na Wapi Itatoka Hysteria?
 
Hyteria ya mashuleni haisababishwi na ukosefu wa ngono.
hutokokea kwa wasichana (zaidi) wenye umri wa kubalehe.
Kuliunganisha hili tatizo na ngono nu uvumi tu ambao unapendwa na wengi.
Madaktari huelezea mara kwa mara lakini waTZ hawataki kuachana na hiyo myth.
 
Back
Top Bottom