Songa Heri
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,723
- 1,872
Niki kaa au nikichumaa kwa mda mrefu nikisimama napata kizunguzungu
Hali ambayo hunipelekea nishindwe kufanya chochote mpaka zikipita dakika moja au mbili ndipo akili hujirudi
Hii ni dalili ya ugonjwa gani maana hali hii ilikuwa ikinitokea mara moja moja ila kwa siku za karibuni imekua mfululizo.
Wasalaam.
Mara ya mwisho kupima kiasi cha damu ulikuwa na Hb ya ngapi?