AFYA NA PESA
Member
- Aug 6, 2015
- 42
- 1
Pole ndugu. ...kwa matbabu zaid 0714.912.390
Inawezekana kizunguzungu chake kinasababishwa na huo unene na mtu akiwa mnene hakosi kuwa na Maradhi ya Presha, na hiyo presha ndio inachangia mtu kupata ugonjwa wa kizunguzungu na unene kiafya sio mzuri. Jaribu kumuuliza wifi yako je anayo maradhiya presha? kisha uje hapa utupe mrejesho wako MkempiaMzizimkavu, Nina wifi yangu ana tatizo la kizunguzungu kikali sana lakini sababu ulizozitaja hana hata moja isipokuwa ni mnene sana. Je hii inaweza kuwa sababu?
Asante mkuuKizunguzungu (dizziness) kinasababishwa na vitu vingi kama vile shinikizo la juu damu (hypertension) upungufu wa damu (Anemia) au damu kuwa juu sana. Kabla ya matibabu ni vema ukaenda Hospital kupima hivo vipimo ujue nini chanzo cha tatizo lako. Na bila kusahau kupima sukari.
Pole sana ndugu
Nashukuru mkuu kwani upungufu wa damu nini chanzo chake na ni vyakula na vinywaji gani huongeza damu!!?Ni dalili za upungufu wa damu.
Ke/MeNiki kaa au nikichumaa kwa mda mrefu nikisimama napata kizunguzungu
Hali ambayo hunipelekea nishindwe kufanya chochote mpaka zikipita dakika moja au mbili ndipo akili hujirudi
Hii ni dalili ya ugonjwa gani maana hali hii ilikuwa ikinitokea mara moja moja ila kwa siku za karibuni imekua mfululizo.
Wasalaam.
Duh sayans ya darasa la 3Nashukuru mkuu kwani upungufu wa damu nini chanzo chake na ni vyakula na vinywaji gani huongeza damu!!?
MeKe/Me
Damu huna Na maji ya kutosha
Thanks in advanceDamu huna Na maji ya kutosha
Kula CHAKULA cha kutosha Bora Na salama
Bila kusahau water
Kuna lingine?Thanks in advance
Pima damu kwanza , kwa kuongeza damu kula red meat na maini, mchicha uliowekwa nyanya nyingi, ukimaliza kula tu kula machungwa au nanasi. Kumbuka kunywa lita mbili za maji kwa siku.Nashukuru mkuu kwani upungufu wa damu nini chanzo chake na ni vyakula na vinywaji gani huongeza damu!!?
Nashuku mkuu ntayafanyia kazPima damu kwanza , kwa kuongeza damu kula red meat na maini, mchicha uliowekwa nyanya nyingi, ukimaliza kula tu kula machingwa si nanasi. Kumbuka kunywa lita mbili za maji kwa siku.