Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

Nilikua na tatizo hili ... kuna dokta Mashamba wa Kairuki kitengo cha ENT allinisaidia sana.
 
Hili tatizo la macho na mwili kukosa balance huwa vinanitesa sana!na hata nikijaribu kufikiria jambo kichwa kinakuwa kizito mno
 
Kunywa maji mengi kwa siku
Ikiwezekana asubuhi kunywa ya uvuguvugu.
Check pressure na sukari
Lakini anza na water therapy
Utapona jaribu wiki moja.
Muamini Mungu. Hii ndio tiba ya kwanza, ondoa hofu , elewa haupo kwa bahati mbaya au kibahati tu upo kwasababu Mungu aliona uwepo
Pole. Utapona
 
Tatizo langu mimi uzito ukiongozeka hiyo ni shida kwangu nitasikia kizungunguzungu mapigo ya moyo yanaongezeka
 
Naombeni kujuzwa dawa ya kizungu zungu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kizunguzungu muda.natanguliza shukrani zangu kweli Kwa wote mtakao changia.
 
Nenda kapime wingi wa damu, hio huwa dalili kuu ya damu kuzidi mwilini.

Usikimbilie kutafuta dawa, wala usikimbilie kujihisi unaumwa maradhi makubwa.
 
Back
Top Bottom