Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Nasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.

Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.

Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.

Mwenye namna yeyote anisaidie
Njo inibox
 
Huu ugonjwa unasumbua sana na kama uchumi aujakaa vizuri huwa unatesa vibaya.
1.Kitu cha kwanza inabidi aukubali ugonjwa,na asile vile vyakula vinavyochochea kutokana na ushauri wa daktari.Na ale kwa wastani.
2.Pili,anatakiwa aanzishiwe klinik ya tiba...mimi nilimpeleka mkwe wangu hospitali moja inaitwa momela-Arumeru Arusha
3.Mazoezi mara kwa mara
4.Asiwe na mawazo...ingawa pia ni changamoto inategemea na famili aliyonayo
5.Awe anahuzuria mara kwa mara hospital,kucheki kiasi n.k
6.Ikipanda sana inabidi awahishwe hospital ikashushwe
 
*•Unamfahamu Mgonjwa Anayeumwa KISUKARI??*

*•Awe Ndugu yako, Rafiki, Jirani, Mme/Mke wako Au Jamaa Yako???*

*•Je, Unajua Kuwa Yupo Kwenye Wakati Mgumu Kiakili, Kisaikolojia, Kiafya nk, Na Amekata Tamaa Kutokana Na Tetesi au Majibu Kuwa hawezi Kupona Kabisa Ugonjwa Wake?*

*•Unaonaje Kama, Ukimpa Taarifa Kuwa Tatizo Lake Lina Suluhisho la Kupona Na Atarudia Hali Yake Kama Zamani Huoni Kama Utakuwa Umemuokoa Mtu Huyo Na Atakushukuru Maisha Yake Yote??*

*¶Katika hali hiyo haya humpata mtu;*
*1. Njaa ya mara kwa mara, glukosi inapopungua.*
*2. Kukojoa mara nyingi , kuondoa sukari. Mkojo huwa mtamu.*
*3. Kiu, kwa sababu sukari huvuta majimaji kutoka kwenye seli na kwenye figo. Mwili hupungukiwa kiasi cha maji.*
*4. Uchovu, Kupungukiwa nguvu ya Kufanya tendo la Ndoa, Nishati inakuwa haitoshi.*
*5. Maluweluwe, Kushindwa Kuona Vizuri, Ubongo unakosa nishati.*
*6. Kichwa kuuma, taarifa kwako kwamba mwili hauko sawa.*
*Na dalili nyingine nyingi.*


Wengi wamepona na Kumshukuru Mungu kupitia huduma ya Matibabu tunayotoa.

*Sehemu Nyingi hawatibu kiini cha Tatizo wanatibu matokeo ya Tatizo na hiyo imekuwa sababu ya magonjwa mengi kuonekana sugu au hayatibiki, mfano Ugonjwa wa Kisukari wanadeal na Hali ya Ugonjwa, Kama Kisukari ni Cha Kupanda unapewa Dawa za Kushusha kama Sukari IPO katika Hali ya Kushuka Mgonjwa unapewa Dawa za kupandisha.*

*Matibabu tunayotoa tunatibu Kisukari kwa Ujumla Wake, Kwanzia Kinga ya Mwili, Kongosho, Damu, na Kuzuia sukari unayoiingiza mwilini kupitia chakula.*




*
 
Mkuu pole kwa kuuguza. Sijui mgonjwa amekuwa na hali gani mpaka sasa.
Ila kama unaweza tafuta bamia nne hivi katakata vidogovidogo weka kwenye maji safi ya kunywa (kikombe kimoja cha chai) kwa masaa 12 halafu mpe mgonjwa anywe.
Ukiweza kutengeneza jioni ili anywe asubuhi itakuwa vizuri. Mpe kwa sikutano kila siku angalia sukari yake kama inashuka.
(Usiweke kwenye maji ya moto)
 
Kufa kwa kisukari pekee ni uzembe wa mgonjwa au ndugu zake. Sijui huwa tunakwama wapi kufuatilia matibabu.
Anaendeaje mgonjwa?
 
Mkuu pole sana,kisukari ni ugonjwa unaotesa sana sitaki kukumbuka ulivyomtesa mume wangu hadi kumuondoa dunian....
 
Yaaah hapa katuongopea kabisa wakati wengine sisi ndo sekta zetu akapitie vizuri magroup ya ant diabetic drugs kuanzia biguanides, salfonyulea na mengine.
Kisukari unaweza kukidhibiti kwa lishe tu. Maana hizo "dawa kisukari zinaufanya mwili usi absorb sukari nyingi kwenye seli...lakini ile excess sugar inabaki kwenye damu na kufanya madhara."

We jamaa unatupa matango hapa kasome vizuri
 
Kuna zile dawa za kienyeji za cku 3, alishawahi jaribu na izo? My frend aliumwa and ilikua yaendea stage mbaya, alitumia. Na kufata masharti ya msosi now is well, anafanya vyote, na kula kila kitu. Tho yeye alkua hajafikia hatua ya vidonda.
Ziko wapi.
 
Ewe ndugu yangu, unayehangaika na Kisukari, wee rafiki unayejua jamaa yako. Ndugu n.k ana KISUKARI.

huu ugonjwa una mateso sana nadhani mnaelewa.

LEO sitozungumza chochote kitaalamu kuhusiana na matibabu ya Kisukari, kwa sababu najua mmeshazunguka sana tu.


NAWASIHI NA KUWAOMBA, TUMIENI UKWAJU UKWAJU UKWAJU, UKWAJU UMEWEZA KUNIPA MREJESHO KWA WATU NILOWASHAURI.


TUMIENI UKWAJU UKWAJU.. SIHITAJI CHOCHOTE WALA NINI..NMEAMUA KUWASAIDIA, TUMIENI UKWAJU ,HUU UKWAJU MCHACHU WA SOKONI HUUU !!!


DOZI...

Andaa Lita tano za juice ya ukwaju... Kunywa Glass moja, asubuh kabla ya mlo...kisha moja mchana..kisha moja jion kwa siku tano...

Hope mpaka hapo uraona mabadiliko. Baada ya hapo TUMIA JUICE YA UKWAJU KAMA SEHEM YAKO YA KILA SIKU !!!.....hautokaa ukimbizwe hospital kisa KISUKARI

msisahau kuleta mrejesho ili kua ushuhuda kwa wengine !!.....
 
Back
Top Bottom