Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Write your reply...Doctor wa Bochi anaitwa Doctor Peter ni Physiciian.
 
Nasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.

Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.

Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.

Mwenye namna yeyote anisaidie
pole ndug yangu ila hakuna dawa ya kisukari mpaka leo ila mwambie afuate masharti apunguze kama ikiwezekana asitumie kabisa vitu vya sukari halafu sukari yake ni ya aina gani ni ya kupanda au kushuka?
 
Nasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.

Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.

Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.

Mwenye namna yeyote anisaidie
Awe anatumia unga wa mbegu za maboga zitamsaidia sana
 
Mkuu mnyonyo pia ni moja ya dawa?
Kuanzia wiki moja hadi miezi miwili. Cha msingi awe anapima kila siku hadi sukari itakapo fika normal.

# Nilisahau ukiweza kupata mmea wa bangi uwe mbichi uuoshe vizuri, utwange kisha chemsha hadi itokote halafu kimiminika chake atumie kunywa glasi mbili asubuhi mbili mchana mbili usiku.Fanya hivyo kwa siku kumi na nne sukari yote itakwisha. Utakuja kutoa ushuhuda hapa mkuu
 
Nakushukuru. Wacha nipambane. Sukari yake ni ya kupanda
Afuate lishe atakuwa sawa kabisa

Atumie bamia kwa wingi na spinach ni nzuri mimi nilpata gestational diabetes (sukari ya ujauzito)huwa inaisha baada ya kujifungua so kwa kipindi hicho nilfuata lishe nkawa vizuri kabisa

Maelezo ni mengi nitafute nkuelekeze jinsi ya kupangilia milo yake
 
Mkuu pole sana...Sijui kama umepata suluhisho au VP...

Ila kama bado ni PM nikuelekeze sehemu(kama upo Dar)

Ni uhakika nina ndugu zangu watano pamoja na majirani niliowapeleka. Wamepona kabisa 100%
Mkuu muelekeze hapa na wengine wanufaike!
 
Isaya 41:10

Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
 
Mkuu pole sana...Sijui kama umepata suluhisho au VP...

Ila kama bado ni PM nikuelekeze sehemu(kama upo Dar)

Ni uhakika nina ndugu zangu watano pamoja na majirani niliowapeleka. Wamepona kabisa 100%
SI iseme hapa watu wengi wakapone mkuu sukari inatesa jamaa muisikie tuu!
 
kuna ndugu kapona kwa kutumia dawa za kienyeji na kusema hizi za hospitali za wazungu ni uzushi mtupu
 
Mwambie

4. Chukua kijiko kimoja cha shubiri chemsha kwenye lita moja ya maji pamoja na ndizi moja ya kuiva ( uiponde ponde kabla ya kuipika) ikitokota ipua kisha mpe awe anakunywa kikombe.kimoja asubuhi na.kimoja usiku.
Mkuu hii dawa Shubiri uliyotaja hapo haifai kutibu maradhi ya kisukari kwani inaondosha kabisa na sukari iliyomo mwilini na mgonjwa anaweza kupooteza maisha usije kumshauri mtu atumie hiyo dawa kutibu maradhi ya Kisukari kwakutumia shubiri sio nzuri kabisa.Unaweza kumsababisha mgonjwa wa kisukari akafa gafla.
 
mkuu pole kwa kuuguza,
Ugonjwa wa kisukari hauna dawa maana hatujaweza pata dawa ambayo itaenda tibu tatizo kwahiyo tiba ya uhakika ni lishe
Mgonjwa wako aachane na vyakula vyote vya wanga na sukari zote pasipokujali ni sukari gani, kufanya hivyo kutafanya sukari isipande na itakuwa inaingia kidogo ambayo itapatikana kwenye vyakula vingine kama mboga na vyakula vya protein.
Mkuu pia nakushauri kumwona BOAZ MKUMBO yupo mwananyamala kasaidia wengi sana katika swala zima la kisukari na magonjwa mengine ya lishe, naamini kwake mgonjwa wako ataishi kwa furahana na hatotumia dawa tena
 
Dawa zinatibu Mungu anaponya. INSHA'ALLAH
Hakika!!!

Umenikumbusha kisa cha nabii musa(a.s)
Alipata maradhi akamuomba allah amjaalie dawa, mungu akamuelekeza musa dawa akatumia akapona, kisha allah akamreheshe musa maradhi yale yale akaenda kujinywea dawa, hola, akatumja tena ile dawa hola, akatumia tena na tena hola!! Musa akamuuliza Allah mbona dawa yako haitibu, allah akamuambia musa, kinachotibu si dawa, anaetibu ni mimi yaani yeye allah..
 
True dat bro
 
Tiba ya sukari ipo kwenye vyakula, mkiendelea kumshindilia ma mtori, wali, ugali mtampoteza siku siyo nyingi...mtafute huyo dokta boaz mkumbo tiba zake zimebase kwenye misosi tuu
 
Nasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.

Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.

Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.

Mwenye namna yeyote anisaidie
Mfollow Dr Boaz mkumbo MD, insta, fb na YouTube pengine utaweza msaidia
 
Back
Top Bottom