stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 15,825
- 22,930
Ngoja tusubirie jibu lake nadhani atakuwa amekuelewa...Acha kuzunguka zunguka, wee sema kuna tiba ya kuponya hilo tatizo completely au laa
Achana na Siasa
Ngoja tusubirie jibu lake nadhani atakuwa amekuelewa...Acha kuzunguka zunguka, wee sema kuna tiba ya kuponya hilo tatizo completely au laa
Achana na Siasa
pole ndug yangu ila hakuna dawa ya kisukari mpaka leo ila mwambie afuate masharti apunguze kama ikiwezekana asitumie kabisa vitu vya sukari halafu sukari yake ni ya aina gani ni ya kupanda au kushuka?Nasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.
Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.
Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.
Mwenye namna yeyote anisaidie
Tena anakutwa kaibeba katika mfuko wa ramboHapo kwenye bangi mkuu utaacha nayeye sasa aanze kutafutiwa dhamana badala ya kuuguza
Hata ukijua Kama ipo au haipo bila kujua mzizi wa tatizo haitokusaidia,Acha kuzunguka zunguka, wee sema kuna tiba ya kuponya hilo tatizo completely au laa
Achana na Siasa
Awe anatumia unga wa mbegu za maboga zitamsaidia sanaNasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.
Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.
Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.
Mwenye namna yeyote anisaidie
Kuanzia wiki moja hadi miezi miwili. Cha msingi awe anapima kila siku hadi sukari itakapo fika normal.
# Nilisahau ukiweza kupata mmea wa bangi uwe mbichi uuoshe vizuri, utwange kisha chemsha hadi itokote halafu kimiminika chake atumie kunywa glasi mbili asubuhi mbili mchana mbili usiku.Fanya hivyo kwa siku kumi na nne sukari yote itakwisha. Utakuja kutoa ushuhuda hapa mkuu
Bochi uliza Dr Peter PhysicianDaktari amembadilishia dawa lakini ni sioni maendeleo ya kuridhisha. Bochi hospital, nazingatia
Afuate lishe atakuwa sawa kabisaNakushukuru. Wacha nipambane. Sukari yake ni ya kupanda
Mkuu muelekeze hapa na wengine wanufaike!Mkuu pole sana...Sijui kama umepata suluhisho au VP...
Ila kama bado ni PM nikuelekeze sehemu(kama upo Dar)
Ni uhakika nina ndugu zangu watano pamoja na majirani niliowapeleka. Wamepona kabisa 100%
SI iseme hapa watu wengi wakapone mkuu sukari inatesa jamaa muisikie tuu!Mkuu pole sana...Sijui kama umepata suluhisho au VP...
Ila kama bado ni PM nikuelekeze sehemu(kama upo Dar)
Ni uhakika nina ndugu zangu watano pamoja na majirani niliowapeleka. Wamepona kabisa 100%
Mkuu hii dawa Shubiri uliyotaja hapo haifai kutibu maradhi ya kisukari kwani inaondosha kabisa na sukari iliyomo mwilini na mgonjwa anaweza kupooteza maisha usije kumshauri mtu atumie hiyo dawa kutibu maradhi ya Kisukari kwakutumia shubiri sio nzuri kabisa.Unaweza kumsababisha mgonjwa wa kisukari akafa gafla.Mwambie
4. Chukua kijiko kimoja cha shubiri chemsha kwenye lita moja ya maji pamoja na ndizi moja ya kuiva ( uiponde ponde kabla ya kuipika) ikitokota ipua kisha mpe awe anakunywa kikombe.kimoja asubuhi na.kimoja usiku.
Hakika!!!Dawa zinatibu Mungu anaponya. INSHA'ALLAH
True dat broHakika!!!
Umenikumbusha kisa cha nabii musa(a.s)
Alipata maradhi akamuomba allah amjaalie dawa, mungu akamuelekeza musa dawa akatumia akapona, kisha allah akamreheshe musa maradhi yale yale akaenda kujinywea dawa, hola, akatumja tena ile dawa hola, akatumia tena na tena hola!! Musa akamuuliza Allah mbona dawa yako haitibu, allah akamuambia musa, kinachotibu si dawa, anaetibu ni mimi yaani yeye allah..
Lishe ndio kila kitu ,bibi yangu alikuwa hoi sana mwaka 2014 lakini leo hii yuko vizuri sana ila msosi wake ni wa pekee sana.Hivi jamani tuwe wakweli, Luna dawa/Tiba zinaponya kisukari kabisa kabisa na kukimaliza ????
Mfollow Dr Boaz mkumbo MD, insta, fb na YouTube pengine utaweza msaidiaNasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.
Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.
Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.
Mwenye namna yeyote anisaidie