Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Dawa ya sukari ni lishe afuate masharti ya lishe najua Mimi kuwa
Kisukari cha kupanda lazima afuate lishe
Astumie vyakula vya wanga
Atumie vyakula vya protini kwa wingi sana
Atumie mboga za majani kwa wingi
Chakula atumie kwa mahesabu namanisha chakula kilingane asubuhi kiwe sawa na cha mchana na jioni
Isizidi milo mitatu na ikizidi mwisho minne
Sukari hili ibalance inatakiwa hiwe 4.5 mpaka 7
Hayo ndio najua
 
Mpeleke kwa Dr.Abaas pale fire mtaa wa Faru. Mimi wiki yatatu sasa napata huduma pale na tatizo langu lipo upande wa kidonda nashkuru naendelea vizuri sanaaaaa. Jama ni Dr. Bingwa wa kisukari.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mkuu wenye matatizo ni wengi, kama hutoona ugumu elezea hapa hadhari ili wengi wafaidike
Mkuu pole sana...Sijui kama umepata suluhisho au VP...

Ila kama bado ni PM nikuelekeze sehemu(kama upo Dar)

Ni uhakika nina ndugu zangu watano pamoja na majirani niliowapeleka. Wamepona kabisa 100%
 
Write your reply...Pole sana ndugu. Daktari wake anasemaje? Upo mkoa gani? Kama upo Dar kuna Daktari yupo Bochi hospital Mbezi alimsaidia sana ndugu yangu naye dawa zililkuwa zinakataa lkn kwa sasa anaendelea vzr sana.
Daktari amembadilishia dawa lakini ni sioni maendeleo ya kuridhisha. Bochi hospital, nazingatia
 
Kisukari unaweza kukidhibiti kwa lishe tu. Maana hizo "dawa kisukari zinaufanya mwili usi absorb sukari nyingi kwenye seli...lakini ile excess sugar inabaki kwenye damu na kufanya madhara."

We jamaa unatupa matango hapa kasome vizuri
 
wazee vipi hawa jamaa wa neolife wana vidonge vyao wanadai vinatibu.nataka nijaribu kwa mzee wangu maana hali si hali.
kuna mtu amewahi kuzitumia?
 
Mkuu pole sana...Sijui kama umepata suluhisho au VP...

Ila kama bado ni PM nikuelekeze sehemu(kama upo Dar)

Ni uhakika nina ndugu zangu watano pamoja na majirani niliowapeleka. Wamepona kabisa 100%
Mkuu tushirikishe sote, mimi pia nina sister nahitaji msaidia. Tafadhali nielekeze mkuu
 
Ugonjwa wa kisukari uko complicated usipofuata masharti inabidi damu ipimwe lab kuangalia cells zilizozidi na kupungua na zita respond na dawa gani.

Ndizi mbichi na mboga mboga na samaki wa kubanika ni chakula bora kwa mwenye kusukari
 
Kuna zile dawa za kienyeji za cku 3, alishawahi jaribu na izo? My frend aliumwa and ilikua yaendea stage mbaya, alitumia. Na kufata masharti ya msosi now is well, anafanya vyote, na kula kila kitu. Tho yeye alkua hajafikia hatua ya vidonda.
 
Hivi jamani tuwe wakweli, Luna dawa/Tiba zinaponya kisukari kabisa kabisa na kukimaliza ????
Sukari ni kukosekana kwa Insulin ya kui regulate. Na hii husababishwa na Kongosho kushindwa kuzalisha hiyo insulin ambayo ndiyo sugar blood regulator. Sasa tuanzie hapa, je Kongosho linawezekana kutibiwa likapona?
 
Nasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.

Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.

Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.

Mwenye namna yeyote anisaidie
Ameshaacha vyakula vyote vya wanga na sukari?
 
Sukari ni kukosekana kwa Insulin ya kui regulate. Na hii husababishwa na Kongosho kushindwa kuzalisha hiyo insulin ambayo ndiyo sugar blood regulator. Sasa tuanzie hapa, je Kongosho linawezekana kutibiwa likapona?
Acha kuzunguka zunguka, wee sema kuna tiba ya kuponya hilo tatizo completely au laa
Achana na Siasa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom