Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,217
- 6,348
Asante sana .Siku hizi sukari haiuwi tena iko controlled. Muhimu wewe zingatia diet yako na chukuwa dawa kama ulivyoshauriwa huku ukifanya mazoezi.
Hiyo ni pre diabetes.Upo kwenye mpaka. Inabidi uchukue hatua za kubadili mfumo wako wa maisha.Asante mkuu,Mimi under fasting nipo 6,93
abaki na protein yakeAcha nicheke hivi protein zinarelate vipi na kisukari? Tuanzie hapo. Naona majibu yako siyo ya kitaalam kabisa. Ungeniambia Starch ningekuelewa.
chia seeds ndo black seed?Piga chia seeds tu, utakuwa poah
Acha kupotosha watu ndugu,hizo chia seed ni biashara ya kitapeli tu,nimetumia sana hizi kituPiga chia seeds tu, utakuwa poah
We nini mtoto wakiume unakua kama huna koromeo acha uboya ww unazinguaYeye ni mbishi, swali nimemuuliza wewe ni ke au me, anaanza kuuliza tena ati kuna uhusiano gani na kumuuliza jinsia na kisukari, hajui kuwa mimi napenda ubishi.
Kwa muda wa siku ngap
Dawa zinatibu Mungu anaponya. INSHA'ALLAHHizi dawa zitasaidia hata kama mgonjwa kafika stage ya mwisho??
Ni Daktari yupi pale ili mtu akifika amuulizie moja kwa moja????Write your reply...Pole sana ndugu. Daktari wake anasemaje? Upo mkoa gani? Kama upo Dar kuna Daktari yupo Bochi hospital Mbezi alimsaidia sana ndugu yangu naye dawa zililkuwa zinakataa lkn kwa sasa anaendelea vzr sana.
Hapo kwenye bangi mkuu utaacha nayeye sasa aanze kutafutiwa dhamana badala ya kuuguzaKuanzia wiki moja hadi miezi miwili. Cha msingi awe anapima kila siku hadi sukari itakapo fika normal.
# Nilisahau ukiweza kupata mmea wa bangi uwe mbichi uuoshe vizuri, utwange kisha chemsha hadi itokote halafu kimiminika chake atumie kunywa glasi mbili asubuhi mbili mchana mbili usiku.Fanya hivyo kwa siku kumi na nne sukari yote itakwisha. Utakuja kutoa ushuhuda hapa mkuu