Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tumia ladysfinger zinasaidia sana, zina-regulate kiwango cha sukari kwenye damu, cha kufanya chukua Bamia(ladysfinger ) ioshe vizuri, ikate kwa juu ili itoe utomvu iweke kwenye glasi, weka maji safi ya kunywa nenda kesho yake asubuhi chukua hayo maji ondoa bamia kunywa maji hayo fanya hivyo kwa wiki kisha leta ushuhuda jamvini.
 
Tafuta elimu sahihi mpendwa hapo umesema umeacha kula sukari ila wanga unakula bado wanga pia ni adui mkubwa

Ukifata utakayoelekezwa unapona kabisa
 
Mwambie

1. Atumie mlonge majani yake mabichi unamchemshia kisha unampa anakunywa glasi mbili asubuhi mbili mchana na mbili usiku.


2. Kalera au kwa jina lingine matango pori ( Dar Es Salaam utazipata pale Soko mjinga au soko la wahindi lipo karibu na Posta au Kisutu. UKIMUULIZA BODABODA , TAXI AU BAJAJI YOYOTE ATAKUPELEKA )

Hayo matango pori yasage kwenye blenda au juicer kisha awe anakunywa glasi mbili asubuhi, glasi 2 mchana na glasi mbili usiku. Ni mujarabu sana na INSHA'ALLAH Mungu atamfanyia wepesi.


3. Uwe unampa mafuta ya Habbat Soddah awe anatumia kula. Kwa.sababu ana hali mbaya jipange.awe anakula walau kichupa kimoja cha size ya kati kwa siku moja.Anakigawa nusu anakula asubuhi nusu anakula usiku.


4. Chukua kijiko kimoja cha shubiri chemsha kwenye lita moja ya maji pamoja na ndizi moja ya kuiva ( uiponde ponde kabla ya kuipika) ikitokota ipua kisha mpe awe anakunywa kikombe.kimoja asubuhi na.kimoja usiku.

Kama una nafasi anaweza kutumia tiba zote kwa pamoja.

Nyingine ni za mitishamba majina nimesahau.

Mungu atamfanyia wepesi.

Nunua na kipimo cha sukari akiwa anatumia basi kesho yake anapima ili asije akapitiliza kwa sababu zinashusha sana sukari tiba hizo.


Kama ni sukari ya kushuka mwambie.atumie mkundekunde. Ataupata vijijini au kwenye maduka ya dawa za kisuna.
 
Kwa muda wa siku ngap

Kuanzia wiki moja hadi miezi miwili. Cha msingi awe anapima kila siku hadi sukari itakapo fika normal.


# Nilisahau ukiweza kupata mmea wa bangi uwe mbichi uuoshe vizuri, utwange kisha chemsha hadi itokote halafu kimiminika chake atumie kunywa glasi mbili asubuhi mbili mchana mbili usiku.Fanya hivyo kwa siku kumi na nne sukari yote itakwisha. Utakuja kutoa ushuhuda hapa mkuu
 
Write your reply...Pole sana ndugu. Daktari wake anasemaje? Upo mkoa gani? Kama upo Dar kuna Daktari yupo Bochi hospital Mbezi alimsaidia sana ndugu yangu naye dawa zililkuwa zinakataa lkn kwa sasa anaendelea vzr sana.
Ni Daktari yupi pale ili mtu akifika amuulizie moja kwa moja????
 
Kuanzia wiki moja hadi miezi miwili. Cha msingi awe anapima kila siku hadi sukari itakapo fika normal.


# Nilisahau ukiweza kupata mmea wa bangi uwe mbichi uuoshe vizuri, utwange kisha chemsha hadi itokote halafu kimiminika chake atumie kunywa glasi mbili asubuhi mbili mchana mbili usiku.Fanya hivyo kwa siku kumi na nne sukari yote itakwisha. Utakuja kutoa ushuhuda hapa mkuu
Hapo kwenye bangi mkuu utaacha nayeye sasa aanze kutafutiwa dhamana badala ya kuuguza
 
Mcheki Dr. Boaz Mkumbo wa Health Eating Academy, Mwananyamala via +255 767 074 124. Amesaidia wengi sana kwenye magoniwa ya aina hiyo.

Kisukari unaweza kukidhibiti kwa lishe tu. Maana hizo dawa kisukari zinaufanya mwili usi absorb sukari nyingi kwenye seli...lakini ile excess sugar inabaki kwenye damu na kufanya madhara.

Akipunguza vyakula vya sukari na wanga atapata nafuu...sukari ataipata toka kwenye starch iliyoko kwenye mboga za majani. Aondoe wanga na sugar foods kama wali ugali n.k....

Kwa maelezo zaidi mcheki hiyo dokta atakusaidia kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom