Ugonjwa wa kisukari unamuua ndugu yangu

Alex Tanzania

Alex Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
658
Points
500
Alex Tanzania

Alex Tanzania

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
658 500
Hivi jamani tuwe wakweli, Luna dawa/Tiba zinaponya kisukari kabisa kabisa na kukimaliza ????
Lishe ndio kila kitu ,bibi yangu alikuwa hoi sana mwaka 2014 lakini leo hii yuko vizuri sana ila msosi wake ni wa pekee sana.
 
13 mega pixel

13 mega pixel

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Messages
6,303
Points
2,000
13 mega pixel

13 mega pixel

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2013
6,303 2,000
[/QUJinsi inavyonyweka hii bidhaa: Ni ya unga-unga(powder), inamimininwa chini ya ulimi ili iyeyuke na mate ili isafirishwe kwenda kwenye ubongo kwa kutumia mishipa midogo midogo inayoruhusu kupeleka 'signal' kwenye ubongo ili kujua kiungo gani cha mwili kina shida na stemcell zipelekwe pale ili mwili uwe na uwezo kuzalisha chembechembe kuziondoa zile zilizochoka au zimekufa.
Naona wazee wa fursa mmeshaona chimbo, mnataka mumlambe mgonjwa laki 5
 
13 mega pixel

13 mega pixel

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Messages
6,303
Points
2,000
13 mega pixel

13 mega pixel

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2013
6,303 2,000
Tiba ya sukari ipo kwenye vyakula, mkiendelea kumshindilia ma mtori, wali, ugali mtampoteza siku siyo nyingi...mtafute huyo dokta boaz mkumbo tiba zake zimebase kwenye misosi tuu
 
vidmate

vidmate

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2018
Messages
332
Points
500
vidmate

vidmate

JF-Expert Member
Joined May 7, 2018
332 500
Nasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.

Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.

Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.

Mwenye namna yeyote anisaidie
Mfollow Dr Boaz mkumbo MD, insta, fb na YouTube pengine utaweza msaidia
 
O

omumwi aka

Member
Joined
Sep 17, 2018
Messages
68
Points
125
O

omumwi aka

Member
Joined Sep 17, 2018
68 125
Nasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.

Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.

Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.

Mwenye namna yeyote anisaidie
Njo inibox
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,225
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,225 2,000
Huu ugonjwa unasumbua sana na kama uchumi aujakaa vizuri huwa unatesa vibaya.
1.Kitu cha kwanza inabidi aukubali ugonjwa,na asile vile vyakula vinavyochochea kutokana na ushauri wa daktari.Na ale kwa wastani.
2.Pili,anatakiwa aanzishiwe klinik ya tiba...mimi nilimpeleka mkwe wangu hospitali moja inaitwa momela-Arumeru Arusha
3.Mazoezi mara kwa mara
4.Asiwe na mawazo...ingawa pia ni changamoto inategemea na famili aliyonayo
5.Awe anahuzuria mara kwa mara hospital,kucheki kiasi n.k
6.Ikipanda sana inabidi awahishwe hospital ikashushwe
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,225
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,225 2,000
Naona wazee wa fursa mmeshaona chimbo, mnataka mumlambe mgonjwa laki 5
Ulimwengu ulishaharibika tatizo lako ni fursa kwa mwingine;wewe unalia msiba fundi jeneza anashangilia,unatuhumiwa kwenye kesi wakili anashangilia n.k
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
8,038
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
8,038 2,000
*•Unamfahamu Mgonjwa Anayeumwa KISUKARI??*

*•Awe Ndugu yako, Rafiki, Jirani, Mme/Mke wako Au Jamaa Yako???*

*•Je, Unajua Kuwa Yupo Kwenye Wakati Mgumu Kiakili, Kisaikolojia, Kiafya nk, Na Amekata Tamaa Kutokana Na Tetesi au Majibu Kuwa hawezi Kupona Kabisa Ugonjwa Wake?*

*•Unaonaje Kama, Ukimpa Taarifa Kuwa Tatizo Lake Lina Suluhisho la Kupona Na Atarudia Hali Yake Kama Zamani Huoni Kama Utakuwa Umemuokoa Mtu Huyo Na Atakushukuru Maisha Yake Yote??*

*¶Katika hali hiyo haya humpata mtu;*
*1. Njaa ya mara kwa mara, glukosi inapopungua.*
*2. Kukojoa mara nyingi , kuondoa sukari. Mkojo huwa mtamu.*
*3. Kiu, kwa sababu sukari huvuta majimaji kutoka kwenye seli na kwenye figo. Mwili hupungukiwa kiasi cha maji.*
*4. Uchovu, Kupungukiwa nguvu ya Kufanya tendo la Ndoa, Nishati inakuwa haitoshi.*
*5. Maluweluwe, Kushindwa Kuona Vizuri, Ubongo unakosa nishati.*
*6. Kichwa kuuma, taarifa kwako kwamba mwili hauko sawa.*
*Na dalili nyingine nyingi.*

Wengi wamepona na Kumshukuru Mungu kupitia huduma ya Matibabu tunayotoa.

*Sehemu Nyingi hawatibu kiini cha Tatizo wanatibu matokeo ya Tatizo na hiyo imekuwa sababu ya magonjwa mengi kuonekana sugu au hayatibiki, mfano Ugonjwa wa Kisukari wanadeal na Hali ya Ugonjwa, Kama Kisukari ni Cha Kupanda unapewa Dawa za Kushusha kama Sukari IPO katika Hali ya Kushuka Mgonjwa unapewa Dawa za kupandisha.*

*Matibabu tunayotoa tunatibu Kisukari kwa Ujumla Wake, Kwanzia Kinga ya Mwili, Kongosho, Damu, na Kuzuia sukari unayoiingiza mwilini kupitia chakula.*

*UKWELI ULIVYO*
*Ukipata Tiba sahihi Kupona ni Uhakika.*

*•Share Taarifa Hii Kuwa KISUKARI Kinatibika Kabisa,*
```Tunapatikana Dar es salaam Mlimani City. Kwa Ushauri Na Tiba Wasiliana Na Mshauri Wetu 0715-647940```

*•Share Hadi Imfikie Mgonjwa Anayeugulia Kwa Maumivu makali Kitandani Na Hana Tumaini La Kupona.*NIMETUMIWA NA MTU HII INAWEZA KUWA MSAADA NDUGU...
 
uniq

uniq

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Messages
4,669
Points
2,000
uniq

uniq

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2011
4,669 2,000
Mkuu pole kwa kuuguza. Sijui mgonjwa amekuwa na hali gani mpaka sasa.
Ila kama unaweza tafuta bamia nne hivi katakata vidogovidogo weka kwenye maji safi ya kunywa (kikombe kimoja cha chai) kwa masaa 12 halafu mpe mgonjwa anywe.
Ukiweza kutengeneza jioni ili anywe asubuhi itakuwa vizuri. Mpe kwa sikutano kila siku angalia sukari yake kama inashuka.
(Usiweke kwenye maji ya moto)
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,792
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,792 2,000
Kufa kwa kisukari pekee ni uzembe wa mgonjwa au ndugu zake. Sijui huwa tunakwama wapi kufuatilia matibabu.
Anaendeaje mgonjwa?
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
24,366
Points
2,000
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
24,366 2,000
*•Unamfahamu Mgonjwa Anayeumwa KISUKARI??*

*•Awe Ndugu yako, Rafiki, Jirani, Mme/Mke wako Au Jamaa Yako???*

*•Je, Unajua Kuwa Yupo Kwenye Wakati Mgumu Kiakili, Kisaikolojia, Kiafya nk, Na Amekata Tamaa Kutokana Na Tetesi au Majibu Kuwa hawezi Kupona Kabisa Ugonjwa Wake?*

*•Unaonaje Kama, Ukimpa Taarifa Kuwa Tatizo Lake Lina Suluhisho la Kupona Na Atarudia Hali Yake Kama Zamani Huoni Kama Utakuwa Umemuokoa Mtu Huyo Na Atakushukuru Maisha Yake Yote??*

*¶Katika hali hiyo haya humpata mtu;*
*1. Njaa ya mara kwa mara, glukosi inapopungua.*
*2. Kukojoa mara nyingi , kuondoa sukari. Mkojo huwa mtamu.*
*3. Kiu, kwa sababu sukari huvuta majimaji kutoka kwenye seli na kwenye figo. Mwili hupungukiwa kiasi cha maji.*
*4. Uchovu, Kupungukiwa nguvu ya Kufanya tendo la Ndoa, Nishati inakuwa haitoshi.*
*5. Maluweluwe, Kushindwa Kuona Vizuri, Ubongo unakosa nishati.*
*6. Kichwa kuuma, taarifa kwako kwamba mwili hauko sawa.*
*Na dalili nyingine nyingi.*

Wengi wamepona na Kumshukuru Mungu kupitia huduma ya Matibabu tunayotoa.

*Sehemu Nyingi hawatibu kiini cha Tatizo wanatibu matokeo ya Tatizo na hiyo imekuwa sababu ya magonjwa mengi kuonekana sugu au hayatibiki, mfano Ugonjwa wa Kisukari wanadeal na Hali ya Ugonjwa, Kama Kisukari ni Cha Kupanda unapewa Dawa za Kushusha kama Sukari IPO katika Hali ya Kushuka Mgonjwa unapewa Dawa za kupandisha.*

*Matibabu tunayotoa tunatibu Kisukari kwa Ujumla Wake, Kwanzia Kinga ya Mwili, Kongosho, Damu, na Kuzuia sukari unayoiingiza mwilini kupitia chakula.*

*UKWELI ULIVYO*
*Ukipata Tiba sahihi Kupona ni Uhakika.*

*•Share Taarifa Hii Kuwa KISUKARI Kinatibika Kabisa,*
```Tunapatikana Dar es salaam Mlimani City. Kwa Ushauri Na Tiba Wasiliana Na Mshauri Wetu 0715-647940```

*•Share Hadi Imfikie Mgonjwa Anayeugulia Kwa Maumivu makali Kitandani Na Hana Tumaini La Kupona.*NIMETUMIWA NA MTU HII INAWEZA KUWA MSAADA NDUGU...
Shida ya hawa wako kibiashara zaidi,
Yaan wanaitaka hela yako zaidi kuliko afya yako.
 
H

hellefay

Member
Joined
May 16, 2018
Messages
17
Points
45
H

hellefay

Member
Joined May 16, 2018
17 45
Mkuu pole sana,kisukari ni ugonjwa unaotesa sana sitaki kukumbuka ulivyomtesa mume wangu hadi kumuondoa dunian....
 
clixus

clixus

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Messages
647
Points
500
clixus

clixus

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2016
647 500
Yaaah hapa katuongopea kabisa wakati wengine sisi ndo sekta zetu akapitie vizuri magroup ya ant diabetic drugs kuanzia biguanides, salfonyulea na mengine.
Kisukari unaweza kukidhibiti kwa lishe tu. Maana hizo "dawa kisukari zinaufanya mwili usi absorb sukari nyingi kwenye seli...lakini ile excess sugar inabaki kwenye damu na kufanya madhara."

We jamaa unatupa matango hapa kasome vizuri
 
Forum statistics

Threads 1,315,272
Members 505,171
Posts 31,852,183
Top