Ugonjwa wa kisukari unamuua ndugu yangu

Tish

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Messages
273
Points
250
Tish

Tish

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2014
273 250
Nasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.

Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.

Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.

Mwenye namna yeyote anisaidie
Awe anatumia unga wa mbegu za maboga zitamsaidia sana
 
M

Mangachini

Senior Member
Joined
Mar 24, 2014
Messages
109
Points
225
M

Mangachini

Senior Member
Joined Mar 24, 2014
109 225
Hili jibu lipo kibiashara zaidi kuliko kutabibu. Stemcell inatibu kongosho?

Pata ufafanuzi hapa kidogo wa Stemcell ilivyo:

Kampuni ya Superlife ina virutubisho vya hali ya juu vilivyotengenezwa na kampuni iitwayo Mibelle Biochemistry ya Uswisi.

Bidhaa zenyewe

Umeshawahi kujiuliza iwapo kuna njia ya kuzuia magonjwa sugu kama Kansa, Kiharusi(Stroke), Kisukari n.k?

Basi usihangaike pengine kwa sababu suluhisho liko hapa chini.

Stem Cell 30(STC 30)

Stem Cells ni nini?

Hizi ni chembe chembe ambazo zina sifa zifuatazo:

Zina tabia ya kujizalisha na kuongezeka kwa kiwango kikubwa

Kila mara mojawapo ya hizi chembe chembe zinapotengenezwa mojawapo pia ya mambo yafuatayo yatafanyika, aidha:

-chembe chembe itakuwa na uwezo wa kutengeneza chembe chembe nyingine na kutoa aina nyingine za aina kama hiyo

- itakuwa ni chembechembe maalumu (specialised) na itaenda kuwa ni sehemu ya viungo vyako kama ini, ngozi, macho, au sehemu nyingine yoyote ya mwili wako lilipo tatizo.

Hii inaruhusu urekebishaji na kuleta hali ya ujana(upya) wa mwili kutokana na uharibifu unaosababishwa na madhara kama kansa au madhara mengine yoyote.

Mtu yeyote mwenye miaka 25 na kuendelea anahitaji mwilini mwake Stem Cells. Kwa nini?

-Hii ni kwa sababu stem cells huanza kuchoka na kufa polepole kutokana na kuzeeka na katika umri wa miaka 25 mchakato huu huanza mara moja.

Stem cells zina kazi muhimu mwilini. Hubainisha tishu(tissues) ambazo zimechoka na zinahitaji kubadilishwa, kama vile misuli ya moyo baada ya kutokea kwa shambulio la moyo(heart attack). Stem cells huingia ndani mwa tishu zilizochoka, hasa kwakuzibadilisha zenyewe na kuwa katika hiyo hali ya chembe chembe za tissues, na kuziweka katika hali ya kuwa chembe chembe za tishu zenye afya zaidi. Kwa mfano, stem cells zina uwezo wa kutengeneza chembe chembe mpya za ini, ubongo, mifupa, figo, misuli n.k.Stem cells ni sehemu muhimu ya jitihada za asili za mwili kufikia kiwango cha juu cha afya ya mwili.

Stem cells ni bidhaa za kiafya ambazo hakika ziko ‘mbele ya wakati wake’. Watumiaji wa Stem cells duniani kote wametoa shuhuda nzuri za kama vile kusema ‘too good to be true’ baada ya kuzitumia bidhaa. Lakini ukweli ni kwamba Stem cells zina uwezo kushughulika ipasavyo na hali yoyote inayohusu chembe chembe na damu mwilini.

Mbali na kutibu aina mbali mbali za magonjwa, utumiaji wa stemcells utakusaidia kujikinga na magonjwa.

Kama una mashaka na maelezohaya ingia katika website ya kampuni: www.superlifeworld.com.

Sema sasa hapana kwa: ukatwaji wa viungo(amputations), operesheni, uchomeleaji wa mionzi(chemo-therapy), usafishaji wa figo(kidney dialysis), na aina nyingine ya matibabu yenye maumivu makali. Watumiaji wengi wameona nafuu kubwa ndani ya siku 30, yaani wagonjwa wa kansa hata ambao imeshafika stage 4, kisukari hatua ya vidonda, tezi dume, nk.

Jaribu leo virutubisho vya Stem-cell na tiba yake na hutajutia hela yako.

Kampuni ya Superlife, kwa kushirikiana na waanzilishi waliosifika katika utafiti wa stem cells, Mibelle Biochemistry, Uswisi inakuletea bidhaa zilizojipatia sifa na umaarufu, pia tuzo duniani katika kipindi cha muda mfupi tu tangu kuanzishwa kwake. Bidhaa hizi zimethibitishwa kutibu magonjwa sugu na yenye madhara zaidi ya 134.Wanasayansi wanatabiri ya kwamba stem-cells zitabadilisha kila kitu katika tiba. Wenye kisukari hawatahitaji tena ‘insulin’, waliopooza wanatembea na kuishi zaidi, wenye upungufu wa nguvu za kiume wanapata nguvu mpya kwani chembechembe zilizochoka katika viungo vya uzazi vinarudi katika hali nzuri.

Kasha au boksi la bidhaa ya Stemcell 30(STC 30) lina vimifuko(sachets 15), kila siku unakunywa kimfuko kimoja. Ni bidhaa iliyo katika unga-unga, ambapo unapokibomoa kimfuko, unamimina ule unga chini ya ulimi ili usambae kwenye mishipa kwa njia ya mate na baada ya nusu saa unatakiwa unywe maji ili bidhaa isambae vizuri mwilini. Faida kubwa ya hii bidhaa ni kwamba ukiitumia kuponya tatizo moja, yenyewe inaenda kutibu au kurekebisha mifumo kadhaa haifanyi kazi vizuri mwilini hata kama wewe ulikuwa hutambui hivyo!!! Pia utaonekana kuwa na sura au ngozi yenye kupendeza na yenye afya zaidi. Mitchelle Obama ni mmojawapo wa watumiaji wakubwa wa hii bidhaa, waweza kumuona jinsi alivyo na mwili au sura ya ujana zaidi licha ya kuwa na umri mkubwa.

Nitafute kwa simu hii 0629 057864 kwa msaada zaidi
 
Attachments:

Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
2,643
Points
2,000
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
2,643 2,000
Mkuu mnyonyo pia ni moja ya dawa?
Kuanzia wiki moja hadi miezi miwili. Cha msingi awe anapima kila siku hadi sukari itakapo fika normal.

# Nilisahau ukiweza kupata mmea wa bangi uwe mbichi uuoshe vizuri, utwange kisha chemsha hadi itokote halafu kimiminika chake atumie kunywa glasi mbili asubuhi mbili mchana mbili usiku.Fanya hivyo kwa siku kumi na nne sukari yote itakwisha. Utakuja kutoa ushuhuda hapa mkuu
 
N

nsalu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
596
Points
250
N

nsalu

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
596 250
Kwa sasa teknolojia mpya ya Stemcell kupambana na magonjwa yaliyoshindikana kama Kisukari, kansa n.k ndiyo habari ya mjini kwa sasa.
Ndugu yangu alitumia hy haikumsaidia kabisa. Tulutumia hela nyingi kujiunga kuwa memba akatumia hizo dawa lkn hazikusaidia kitu. yani nikisikia tangazo la stem cell huwa naguna tu kwa kweli.
 
M

Mangachini

Senior Member
Joined
Mar 24, 2014
Messages
109
Points
225
M

Mangachini

Senior Member
Joined Mar 24, 2014
109 225
Ndugu yangu alitumia hy haikumsaidia kabisa. Tulutumia hela nyingi kujiunga kuwa memba akatumia hizo dawa lkn hazikusaidia kitu. yani nikisikia tangazo la stem cell huwa naguna tu kwa kweli.
Inategemea alitumiaje hiyo bidhaa na kwa kiwango gani kutegemea uzito wa ugonjwa ulivyokuwa kabla ya kuanza kutumia. Shuhuda za watu wanaotumia Stemcell ni chanya zaidi
 
B

Barbra

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2016
Messages
1,014
Points
2,000
B

Barbra

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2016
1,014 2,000
Nakushukuru. Wacha nipambane. Sukari yake ni ya kupanda
Afuate lishe atakuwa sawa kabisa

Atumie bamia kwa wingi na spinach ni nzuri mimi nilpata gestational diabetes (sukari ya ujauzito)huwa inaisha baada ya kujifungua so kwa kipindi hicho nilfuata lishe nkawa vizuri kabisa

Maelezo ni mengi nitafute nkuelekeze jinsi ya kupangilia milo yake
 
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
3,862
Points
2,000
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
3,862 2,000
Mkuu pole sana...Sijui kama umepata suluhisho au VP...

Ila kama bado ni PM nikuelekeze sehemu(kama upo Dar)

Ni uhakika nina ndugu zangu watano pamoja na majirani niliowapeleka. Wamepona kabisa 100%
Mkuu muelekeze hapa na wengine wanufaike!
 
Alawido

Alawido

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
439
Points
500
Alawido

Alawido

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
439 500
Isaya 41:10

Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
 
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
6,028
Points
2,000
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
6,028 2,000
Mkuu pole sana...Sijui kama umepata suluhisho au VP...

Ila kama bado ni PM nikuelekeze sehemu(kama upo Dar)

Ni uhakika nina ndugu zangu watano pamoja na majirani niliowapeleka. Wamepona kabisa 100%
SI iseme hapa watu wengi wakapone mkuu sukari inatesa jamaa muisikie tuu!
 
Freightliner

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Messages
506
Points
250
Freightliner

Freightliner

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2013
506 250
kuna ndugu kapona kwa kutumia dawa za kienyeji na kusema hizi za hospitali za wazungu ni uzushi mtupu
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,173
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,173 2,000
Nasikitika, ndugu yangu wa karibu anaharibika kwa KISUKARI.

Hali yake ni mbaya kabisa. Amekunywa dawa, amebadilisha dawa lakini matokeo yanaendelea kuwa mabaya na mabaya.

Napenda niokoe siku zake, hata sijui nifanyaje.

Mwenye namna yeyote anisaidie
Nitafute mimi kwa wakati wako nipate kumtibia ndugu yako kwa muda wa miezi 3 yaani siku 90 atakuwa amekwisha kupona kabisa na atakuwa anakula chakula chochote akipendacho.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +447459370172 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.https://www.facebook.com/mzizi.mkavu
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,173
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,173 2,000
Mwambie
4. Chukua kijiko kimoja cha shubiri chemsha kwenye lita moja ya maji pamoja na ndizi moja ya kuiva ( uiponde ponde kabla ya kuipika) ikitokota ipua kisha mpe awe anakunywa kikombe.kimoja asubuhi na.kimoja usiku.
Mkuu hii dawa Shubiri uliyotaja hapo haifai kutibu maradhi ya kisukari kwani inaondosha kabisa na sukari iliyomo mwilini na mgonjwa anaweza kupooteza maisha usije kumshauri mtu atumie hiyo dawa kutibu maradhi ya Kisukari kwakutumia shubiri sio nzuri kabisa.Unaweza kumsababisha mgonjwa wa kisukari akafa gafla.
 
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
1,606
Points
2,000
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
1,606 2,000
mkuu pole kwa kuuguza,
Ugonjwa wa kisukari hauna dawa maana hatujaweza pata dawa ambayo itaenda tibu tatizo kwahiyo tiba ya uhakika ni lishe
Mgonjwa wako aachane na vyakula vyote vya wanga na sukari zote pasipokujali ni sukari gani, kufanya hivyo kutafanya sukari isipande na itakuwa inaingia kidogo ambayo itapatikana kwenye vyakula vingine kama mboga na vyakula vya protein.
Mkuu pia nakushauri kumwona BOAZ MKUMBO yupo mwananyamala kasaidia wengi sana katika swala zima la kisukari na magonjwa mengine ya lishe, naamini kwake mgonjwa wako ataishi kwa furahana na hatotumia dawa tena
 
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Messages
13,811
Points
2,000
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2013
13,811 2,000
Dawa zinatibu Mungu anaponya. INSHA'ALLAH
Hakika!!!

Umenikumbusha kisa cha nabii musa(a.s)
Alipata maradhi akamuomba allah amjaalie dawa, mungu akamuelekeza musa dawa akatumia akapona, kisha allah akamreheshe musa maradhi yale yale akaenda kujinywea dawa, hola, akatumja tena ile dawa hola, akatumia tena na tena hola!! Musa akamuuliza Allah mbona dawa yako haitibu, allah akamuambia musa, kinachotibu si dawa, anaetibu ni mimi yaani yeye allah..
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,639
Points
2,000
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,639 2,000
Hakika!!!

Umenikumbusha kisa cha nabii musa(a.s)
Alipata maradhi akamuomba allah amjaalie dawa, mungu akamuelekeza musa dawa akatumia akapona, kisha allah akamreheshe musa maradhi yale yale akaenda kujinywea dawa, hola, akatumja tena ile dawa hola, akatumia tena na tena hola!! Musa akamuuliza Allah mbona dawa yako haitibu, allah akamuambia musa, kinachotibu si dawa, anaetibu ni mimi yaani yeye allah..
True dat bro
 
Forum statistics

Threads 1,315,270
Members 505,171
Posts 31,851,972
Top