Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,113
ipo chance ya kupona ikiwa kama atawahi kutumia dawa za tiba mbadala.Asante; je chance ya kupona kwa watu waliopata stroke ikoje. Kupona nikiwa na maana ya kutokufa, hata kama atakuwa mlemavu?
Asilimia 75 ya wagonjwa wa kiharusi wanaonusurika kifo huwa walemavu na kusababisha kuathirika kwa ufanyaji kazi wao na kuajiriwa. Ulemavu unaweza kuwa wa kimwili au kiakili au vyote kwa pamoja.
Ulemavu wa kimwili ni pamoja na
Ulegevu wa misuli
Kujihisi ganzi sehemu mbalimbali za mwili hususani zilizoathirika
Kujikojolea
Kutoona vizuri
Kushindwa kuendelea na shughuli za kila siku
Vichomi
Vidonda shinikizo
Kukosa hamu ya chakula.
Ulemavu wa akili hujumuisha vitu kama
Mgonjwa kuwa na wasiwasi
Hofu ya mashambulizi, na
Unyongovu nyumba kubwa
Last edited by a moderator: