Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,179
- 7,330
Kwa wanaofuatilia sakata la mlipuko wa Zika virus infection na kuzaliwa kwa watoto wenye ulemavu (vichwa vidogo na mtindio wa akili) watakuwa wamesikia kuhusu uginjwa huo kuhusishwa na matumizi ya "dawa ya mbu" au kwa usahihi zaidi sumu ya kuua mbu inayoitwa pyriproxyfen.
Inasemekana sumu hii imetumika nchini Brazil kwa muda wa miezi 18 iliyopita ambapo huwekwa kwenye vyanzo vya maji ili kuua mbu wa Aedes.
Ingawa wanasayansi wa Marekani wamepinga hilo (pengine kutokana na kuhusishwa kwa kampuni ya Monsanto kwenye kuzalisha dawa hiyo), wanasayansi wa Brazil wanaamini kwamba microcephaly inasababishwa na kina mama wajawazito kunywa maji yaliyowekwa hiyo sumu na sio maambukizi ya Zika virus
Kikubwa kinachoipa ushahidi taarifa ya wanasayansi wa Brazil ni ukweli kwamba pamoja na nchi ya Colombia kuwa na maambukizo makubwa ya Zika virus, bado tatizo la microcephaly halijaripotiwa kama Brazil. Ikumbukwe kuwa Brazil ndiyo inatumia sumu hiyo ya pyriproxifen kuua mbu, na Colombia haitumii sumu hiyo
Baada ya taarifa hiyo Brazil imesitisha mara moja matumizi ya sumu hiyo hadi itakavyoelezwa vinginevyo...
My take: Nakumbuka mwaka juzi raisi Kikwete alizindua kiwanda cha kutengeneza "sumu za kuua viluwiluwi vya mbu". Sijui kiwanda hicho kinatengeneza sumu gani lakini naomba wadau wanaohusika na masuala ya afya wawe makini katika hili suala...