Ugonjwa wa Kansa je ni hatari kuliko HIV?

Hakuna mgonjwa wa kansa anayenyolewa kipara, ila hizo ni side effect ya chemotherapy

Zingine ni hizi

CHEMOTHERAPY AND RADIATION THERAPY
POISONING & NATURAL REMEDIES

SYMPTOMS - Loss of appetite, vomiting, diarrhea, anemia, hair loss, anxiety, insomnia ,pain ,fatigue, mouth
ulcers, yeast intections, depression.

CAUSES - The above are some of the symptoms of current medical cancer treatments, using chemotherapy
and /or radiation therapy. Most cancer patients ,receiving these treatments ,become very ill.

Here are several things which can reduce those symptoms:

NATURAL REMEDIES
Maitake is a Japanese mushroom which contains beta-glucan. It is able to heavily reduce nausea ,increase appetite and energy, and strengthen the body's immune
system's white blood cells. Take 2-3 drops a day of the extract.

Take ginger in order to reduce the nauseous abdominal sensation that wants to make yoi vomit.

Glutamine(5,000-15,000 mg daily) is an amino acid which helps protect the lining of your gastrointestinal tract against the damaging effects of chemotherapy and radiation.

Physicians are taught that antioxidant vitamins and minerals reduce the cancer-killing power of chemo and radiation. But,in reality ,by taking those vitamins and minerals, recovery is more likely to occur.See Antioxidants (104).
Section on cancer (613 - 626) for additional information ,also special report( 799)

Siberian ginseng (200 mg, 3-6 times, daily) helps prevent fatigue brought on by chemo and radiation.Take it with astragalus (1,500 mg daily). Make sure the Siberian ginseng is standardized for eleutherosides, the primary
active ingredient.

Green tea reduces the nausea.Drink several cups each day(or take 500 mg of the herb).
Umeboshi is a good remedy for the nausea and vomiting from chemo and radiation. Umeboshi is a Japanese tea which contains salt plum paste,ginger,and the root of the kudzu plant.

-For additional informatlon,see Radiation Poisoning(602) , Chemical poisoning (595).
Kwa nini wagonjwa wa Cancer hunyolewa kipara?
images(15).jpeg
 
Sio virus huyo tu anasababisha saratani au kansa mwingine ni EBV.
Kwa kuongezea na kwa faida kwa wale wasiojua;

**Kansa ya shingo ya kizazi inaambikizwa kwa ngono kama ilivyo HIV.

**Virusi wasambazao cancer ya shingo ya kizazi (HPV) wanaweza kusababisha cancer ya koo.

**Cancer ya koo inayotokana na virusi vya HPV huambikizwa zaidi kwa kunyonyana/kulambana sehemu za siri.

**Pamoja na kuwa mwanaume ni carrier wa HPV anaweza pia kuugua ugonjwa wa cancer ya koo kupita njia zilizotajwa hapo juu.

Tuwe makini
 
Ukimwi ni sawa na cancer ya damu, tofauti ni kuwa HIV inaambukiza
Kuna aina ya saratani ya damu ( Adult T cell leukemia) ambayo pia inasababishwa na virus anayeitwa T lymphotropic virus, sasa nikuulize tukitoa damu ya huyo uwekewe je utaambukizwa au hautaambukizwa?
20190223_205544.jpeg
 
Uwiiiiiiiiiii mnanikumbusha mbali kuna mama mmoja walimkata matiti ili kuondoa kansa ndiyo wakawa wamechochea baada ya mwaka mmoja,,, she die
 
True mara zote mwenye uvimbe (Tumor) huwa kuna microbes ndio maana ukitumbua unachochea, hapo kinachotakiwa ni kumbadilishia mgonjwa lishe kwanza, pia kumpatia vitamins na minerals , na b17,
Nirudi kwenye ufafanuzi kuna parasite or viruses ambao pia wanasababisha saratani au kansa ambayo inakuja kuenea maeneo mbalimbali ya mwili mfano EBV, HPV, Helicobacter pylori etc ,
Pia wagonjwa wa saratani ya matiti huwa wanaupungufu wa vitamin kama A na D
 
OK Doctor
 
HIV ni overrated na ipo kibiashara zaidi.

Mpaka sasa ninavyozungumza ugonjwa unaoongoza kuua Tz ni moyo ukifuatiwa na Kanisam
Kwa dunia HIV hata top 7 huikututi ila Kansa ipo, HIV ukiambiwa unayo ukaamua ubadili lifestyle sana sana katika lishe unakaa vizuri mno.

Naomba niwaambia Watanzania, kile kipimo mpimwacho Hospitali hakipimi virus ndani ya mwili wako bali immunity, upungufu wa kinga unaweza ukasababishwa na stress, mlo, baadhi ya magonjwa n.k lakini sio kwa kusema kirusi cha UKIMWI, HIKI KIRUSI HAKIPO.

Cancer ni nini? Ni pale ambapo seli zinazounda tishu then organ kukua ktk utaratibu ambao sio wa kawaida na kuunda uvimbe, kuna benign tumour, ni uvimbe kama mitoki na malignant tumor, huu ni uvimbe sasa wa saratani.

Kutibiwa kwake kunategemea vitu vingi, vikuu ni stage, grade, aina ya saratani, status ya mgonjwa n.k

Kuna njia kuu nne za kuitibu
1. Upasuaji
2. Mionzi
3. Dripu
4. Hormonal Therapy

Njia zote hizi zinaweza zikadunda pia hata kama umewahi kuigundua mapema saratani.

Ni ugonjwa unaowapata wachache ile ni hatari mno na unatibiwa kwa umakini sama.
Mkuu unaongea kitu usichokijua hata kidogo.

Kwanza kabisa kipimo cha HIV kinapima antibodies ambao ni very specific kwa HIV..
Kwahio usipotoshe umma kwamba kipimo kinapima immunity...

Kipimo kinachopima immunity ambacho ni CD4 count kinaangalia idadi ya WBC ambazo ni cd4..... hiki kinaangalia status ya mgonjwa yaani ni namna gani HIV imeshambulia defence ya mwili..
Na kwa taarifa yako HIV/AIDS ni real kabisa..

Na kwa statistics tu magonjwa yanayoongoza kwa kuua watu TZ ni infections sema kwa miaka ya karibuni magonjwa ambayo ni non infectios kama kisukari ,presha na magonjwa ya moyo yanaongezeka kwa kasi sana lakini bado hayajayafikia maginjwa ya kuambukiza....

Kingine kwenye huu mjadala wa kansa vs AIDS ....kansa ambayo ni malignant ni hatari na inakupeleka fasta sana ..
Lkn AIDS inakuua mdogo mdogo kwa mateso sana..
Ungekuwa umeshawahi kuwaona wagonjwa wa AIDS stage 3 au 4 usingesema uliyoyasema...
 
Mkuu kumbuka hata saratani au kansa zingine zinasababishwa na virus, mfano EBV, HPV, Na wengineo wengi na wanatengenezwa na wanauzwa ushahidi ingia kwenye https://abionline.com
Vyakula vya GMO genetic modified , baadhi ya hormone kwa wanyama kama kuku ng'ombe wakue upesi na chanjo,

Samahani mkuu..
Sijapata point yako hapo..
Unamaanisha HIV sio real ni scam kama jamaa niliyekua namuelekeza au unasema Cancer ni kali kuliko AIDS
 
Kwa mimi nakubaliana nawe kuna kirusi cha HIV ila nimeongeza point vile vile saratani au kansa nayo pia kuna virusi vinasababisha na pia kuna kampuni zinazalisha virusi hivyo kwa ajili ya pia kwenye utatifi.
Samahani mkuu..
Sijapata point yako hapo..
Unamaanisha HIV sio real ni scam kama jamaa niliyekua namuelekeza au unasema Cancer ni kali kuliko AIDS
 
Watangojea Sana mpaka Mzungu aka Mtu Mweuepe Aje kuwaambia, huku wakiondoka Mmoja baada ya mwengine.Waswahili Wanasema Ukizarau Mwiba Utakuchoma.
 
Kwa sababu ni mojawapo wa side effects au matokeo hasi ya dawa za chemotherapy ambapo mgonjwa anapata kunyonyoka nywele

So ili kuepuka aibu na muonekano mbaya kwao wananyoa natumai nimejibu sahihi

Na kuna side effects nyingi tu kama viganja vya mikono kubadili rangi na kuwa meusi.
Kwa nini wagonjwa wa Cancer hunyolewa kipara?
 
Sio kwamba wamechochea wao walifanya hivo kuzuia spreading of it ila usikute ilishafika stage ya mbele zaidi ikawa ngumu Ku monitor
Uwiiiiiiiiiii mnanikumbusha mbali kuna mama mmoja walimkata matiti ili kuondoa kansa ndiyo wakawa wamechochea baada ya mwaka mmoja,,, she die
 
HIV ni overrated na ipo kibiashara zaidi.

Mpaka sasa ninavyozungumza ugonjwa unaoongoza kuua Tz ni moyo ukifuatiwa na Kanisam
Kwa dunia HIV hata top 7 huikututi ila Kansa ipo, HIV ukiambiwa unayo ukaamua ubadili lifestyle sana sana katika lishe unakaa vizuri mno.

Naomba niwaambia Watanzania, kile kipimo mpimwacho Hospitali hakipimi virus ndani ya mwili wako bali immunity, upungufu wa kinga unaweza ukasababishwa na stress, mlo, baadhi ya magonjwa n.k lakini sio kwa kusema kirusi cha UKIMWI, HIKI KIRUSI HAKIPO.

Cancer ni nini? Ni pale ambapo seli zinazounda tishu then organ kukua ktk utaratibu ambao sio wa kawaida na kuunda uvimbe, kuna benign tumour, ni uvimbe kama mitoki na malignant tumor, huu ni uvimbe sasa wa saratani.

Kutibiwa kwake kunategemea vitu vingi, vikuu ni stage, grade, aina ya saratani, status ya mgonjwa n.k

Kuna njia kuu nne za kuitibu
1. Upasuaji
2. Mionzi
3. Dripu
4. Hormonal Therapy

Njia zote hizi zinaweza zikadunda pia hata kama umewahi kuigundua mapema saratani.

Ni ugonjwa unaowapata wachache ile ni hatari mno na unatibiwa kwa umakini sama.
sasa mkuu how upungufu wa mlo na stress unaosababisha kushuka kwa kinga umwambukiz mtu?kama kirus hakuna
 
Upungufu wa kinga mwilini ni wa kwako Tu,huwez kumuambukiza MTU!!

Kwani watu weupe hawakukufundisha vyakula vinavyoongeza kinga ya mwili?

Hakuna kirusi mwenye sifa ya kushambulia kinga ya mwili!!!

A.R.V ndio ugonjwa wenyewe!!😥😥😥😥
 
ARV ndio ndio chanzo cha baadhi ya Kansa mfano Kansa ya kizazi, jicho na saana saana Ngozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom