Ugonjwa wa DENGUE waingia Mwanza

mende 2014

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
763
131
Mgonjwa mmoja amethibitika kuwa na huo ugonjwa na amelazwa katika hospitali ya Sekotoure. Jina la mgonjwa limehifadhiwa.

Chanzo: STAR TV.
 
Mgonjwa mmoja amethibitika kuwa na huo ugonjwa na amelazwa katika hospitali ya Sekotoure. Jina la mgonjwa limehifadhiwa. Source STAR TV.
Hizi ni mbinu tu za magamba za kuchota mabilioni ya pesa kwa kisingizio cha kudhibiti Dengue. Hakuna Dengue wala ndugu yake dengue. Wizi mtupu! CCM mnstahili adhabu kama hii:

bees.jpg
 
Cha kushanganza mkoa mzima wa Mwanza wanapeleka vipimo 50 haya kimeisha tumika kimoja kwa hiyo vimebaki 49 kazi hipo.
 
Hizi ni mbinu tu za magamba za kuchota mabilioni ya pesa kwa kisingizio cha kudhibiti Dengue. Hakuna Dengue wala ndugu yake dengue. Wizi mtupu! CCM mnstahili adhabu kama hii:

bees.jpg

Ngoja ndugu yako augue au weee mwenyewe uugue ndo utaisoma vizuri kuwa ugonjwa upo au ni propaganda. Mambo ambayo ni serious tuwe serious tuweke siasa mbali na vitu vinavyotishia uhai wa watu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom