Ugonjwa wa corona waanza kuzalisha wakimbizi wa kichina, UNHCR wajiandae

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,904
Dunia imezoea kuona wakimbizi wa kivita.

Sasa hivi wachina wengi wenye pesa kutoka miji ambayo haijaathirika na huo ugonjwa wameanza kukimbia china kukimbilia nchi zingine duniani kuukimbia huo ugonjwa

Shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa lianze kujiandaa kukabiliana na hili wimbi jipya la wakimbizi toka china
 
Inawezekana kutokana na wimbi la ghafla la watalii! Kuna Tanzania kila wiki. Mtalii wa kichina toka lini! Miaka yote jawakuwepo leo ghafla bin vuu Tanzania dhaifu.
 
Na wakome kula popo!
pwp3jo2mbwhof5e29ac0d1727f-1.jpeg
 
Back
Top Bottom