ugonjwa wa Cancer unavyotafuna/ulivyotafuna maraisi wa USA na Latin America

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
5,806
2,000
1.Ulysses S. Grant (a heavy smoker) died from throat cancer.

2.Grover Cleveland .

3.Herbert Hoover had intestinal cancer.

4.Franklin Roosevelt had skin cancer.

5.Dwight Eisenhower had a melanoma.

6.Jimmy Carter.

7.Ronald Reagan had surgeries for colon and skin cancer.

8.George Bush had basal skin cancer removed from his face during his Vice Presidency. (His 3 year old daughter died from leukemia.)

9.Bill Clinton had a cancerous growth (basal cell carcinoma) removed from his back. (His mother died from breast cancer.)

10.George W Bush has had precancerous lesions removed from his face. His wife has had skin cancer removed from her knee.

.
LATIN AMERICA
1.Hugo Chaves -venezuela
2.Argentina's President Cristina Fernández de Kirchne.
3.Brazilian President Dilma Rousseff,
4.Paraguay's Fernando Lugo,​
5 .former Brazilian leader Luiz Inácio Lula da Silva,
6. Cuban leader Fidel Castro was also diagnosed with cancer.

jumlisha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ,tumuombee Rais wetu jamani​

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,869
1,225

Kumbuka kuna Cancer za aina mbalimbali za kutisha na zisizo za kutisha; Iliyomuua BABA wa TAIFA Mwalimu Nyerere ni moja ya CANCER nyepesi na rahisi kuitibu au unaweza kuwa nayo lakini isikuhatarishe Maisha kama Una pesa - especially kwa NYERERE alisha kuwa RAIS wa nchi na aliyekuwa RAIS alikuwa kama mtoto wake na anajue MAYO CLINIC iliyoko CLEVELAND OHIO ni MaBINGWA WA Blood Cancer --- JK NYERERE angeishi zaidi ya Miaka hiyo aliyofariki

Kwahiyo; UZEMBE PIA HUCHANGIA
.... mdukuzi
 
kwenye uzembe pia nakubaliana na wewe maana profesa kadai eti alisogeza mbele siku za kufanyiwa operesheni eti asubiri katiba ikamilike kule bungeni sasa kama imesambaa mwilini kisa katiba kazi ya makamu wa rais ni nini,au ndio tuseme mfia nchi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom