Ugonjwa wa ajabu sana umempata mtoto

benbry

Senior Member
Apr 3, 2012
183
54
Habarini za saa hizi ndugu. Ninaamini humu kuna watu wenye experience mbalimbali za maisha. Wapo wenye umri mkubwa (waliokula chumvi nyingi) lkn pia wapo waliopitia visa na mikasa mbalimbali kwenye hii dunia. Lakini pia wapo watu wenye imani mbalimbali na zenye nguvu mbalimbali humu.

Mimi nina mtoto anasoma darasa la Tano shule flani iliyopo Dsm. Huyu mtoto anashindwa kwenda shule, sio kwa kupenda bali kafungwa na nguvu zisizojulikana.
Akiamka anajiandaa kwenda shule, akifika karibu na nahali pa kupanda basi la shule anazimia.
Ukimrudisha nyumbani anaamka na analilia kwenda shule. Ukimchukua tena na gari mnaenda ila mkilikaribia geti la shule anazimia na haamki hata ukae nae hapo kwa muda mrefu kiasi gani.
Ukigeuza tu kumrudisha nyumbani anaamka fresh tu.
Nilijaribu kumuombea shule nyingine nikidhani tatizo ni shule lkn hata hapo alikipelekwa akikaribia geti anazimia.

Hili tatizo limenisumbua kwa muda sasa, wapo watumishi waliopambana nae ili apone na wengine walijipa hadi muda wa kumpeleka shule lkn ilishindikana anazimia mbele yao.
Wapo wataalamu wa miti shamba waliojaribu kumuweka sawa pia hadi sasa haijafanikiwa.

Naombeni ushauri, either kwa waliopitia/kusikia madhila ya aina hii na wakapata solution. Au wanaofahamu mahali pa kupata solution wanisaidie mawazo tafadhali.
Unaweza pia kunifata PM nitashukuru kwa msaada wako. Ninachoamini ni kuwa hili litapita kwa kuwa hakuna shida mpya duniani, isipokuwa litapitaje na lini ndio shida ilipo.
Asanteni.
 
Lazima kuna Logical explanation tu, inawezekana anajifanyisha huyo mtoto. Fanya kitu kinaitwa Placebo, mwambie kwamba kesho mnaenda hospitali kwa ajili ya checkup, lakini kumbe unampeleka shule, vioo vyote vya garicviwe tinted na asione mbele mnakoenda, ikiwezekana badilisha njia unayotumia, hakikisha anaamini kwamba mnaenda hospitali na sio shule, na wakati mnaingia geti la shule asijue na asishuke kwenye gari, asione wanafunzi wenzake hadi aingie mapokezi, kishwa mwambie mnamsubiri daktari, hatozimia.
 
Hajawajua tu watoto...yaan huyo anajifanyisja 100%...huyo unamchapa mboko akijizimisha ataamka mwenyeweee...
 
Naomba niwe mkweli...sipepesi macho..Huyo mtoto anajifanyisha..huyo mtoto ni mvivu...!kweli mtoto anakuzidi akili namna hyo jamani,?mlambe viboko atakaa sawa...!
Amna mkuu, hata muda huu hapa yuko nyumbani analia apelekwe shule, tumeficha hadi funguo ya geti mana likibaki wazi analazimisha kwenda shule ila njiani ndio hivyo. Analalamika tu hapa mana hata yeye hajui kwa nini hawezi kwenda.
 
Habarini za saa hizi ndugu. Ninaamini humu kuna watu wenye experience mbalimbali za maisha. Wapo wenye umri mkubwa (waliokula chumvi nyingi) lkn pia wapo waliopitia visa na mikasa mbalimbali kwenye hii dunia. Lakini pia wapo watu wenye imani mbalimbali na zenye nguvu mbalimbali humu.

Mimi nina mtoto anasoma darasa la Tano shule flani iliyopo Dsm. Huyu mtoto anashindwa kwenda shule, sio kwa kupenda bali kafungwa na nguvu zisizojulikana.
Akiamka anajiandaa kwenda shule, akifika karibu na nahali pa kupanda basi la shule anazimia.
Ukimrudisha nyumbani anaamka na analilia kwenda shule. Ukimchukua tena na gari mnaenda ila mkilikaribia geti la shule anazimia na haamki hata ukae nae hapo kwa muda mrefu kiasi gani.
Ukigeuza tu kumrudisha nyumbani anaamka fresh tu.
Nilijaribu kumuombea shule nyingine nikidhani tatizo ni shule lkn hata hapo alikipelekwa akikaribia geti anazimia.

Hili tatizo limenisumbua kwa muda sasa, wapo watumishi waliopambana nae ili apone na wengine walijipa hadi muda wa kumpeleka shule lkn ilishindikana anazimia mbele yao.
Wapo wataalamu wa miti shamba waliojaribu kumuweka sawa pia hadi sasa haijafanikiwa.

Naombeni ushauri, either kwa waliopitia/kusikia madhila ya aina hii na wakapata solution. Au wanaofahamu mahali pa kupata solution wanisaidie mawazo tafadhali.
Unaweza pia kunifata PM nitashukuru kwa msaada wako. Ninachoamini ni kuwa hili litapita kwa kuwa hakuna shida mpya duniani, isipokuwa litapitaje na lini ndio shida ilipo.
Asanteni.
Pole sana kwa yanayokutokea. Una uhakika hajifanyishi kwa makusudi? Nauuliza hivi kwa sababu nimeshakutana na kesi kama hii. Mtoto wa kike alikuwa na miaka kama 15 lakini alikuwa ni actor mzuri sana sana. Yeye akifika tu shule ''anazimia''. Mpaka waje kugundua kuwa anaigiza ilichukuwa muda mrefu sana. Kama una uhakika kuwa hafanyi acting basi huenda ni tatizo la kisaikolojia.
 
Lazima kuna Logical explanation tu, inawezekana anajifanyisha huyo mtoto. Fanya kitu kinaitwa Placebo, mwambie kwamba kesho mnaenda hospitali kwa ajili ya checkup, lakini kumbe unampeleka shule, vioo vyote vya garicviwe tinted na asione mbele mnakoenda, ikiwezekana badilisha njia unayotumia, hakikisha anaamini kwamba mnaenda hospitali na sio shule, na wakati mnaingia geti la shule asijue na asishuke kwenye gari, asione wanafunzi wenzake hadi aingie mapokezi, kishwa mwambie mnamsubiri daktari, hatozimia.
Yeye ndio alishauri tumpeleke shule nyingine mana anasumbua hadi kulia apelekwe shule lkn aki attempt kwenda ndio yanatokea hayo. Hii ni issue serious msiichukulie kimzaha.
 
Leo jioni mpeleke KKKT Kijitonyama kwenye evening glory, nakuhakikishia kesho ataenda shule
 
Enzi zangu hizo ha ha ha ha nilikuwa noma kwenye michezo hiyo tukiisoma hi comment kwa jicho la kipembuzi tunapata pa kuanzia,kuna shule nafundisha hakika kuna watt wanalipiwa ada na wazazi wao ila n kama tu wanazichezea,yaan wkt wa vpnd anaumwa hoi taaban!ila break na lunch time yaan hyo michezoo hutoamin ndo yy

"kama sijatoa ushauri samahani"
 
Back
Top Bottom