Happy Severine
New Member
- Nov 12, 2012
- 1
- 0
Naomba unisaidie kunipa ufaamu zaidi juu ya ugonjwa wa afya ya akili ambao usababisha na Sonona, kiini cha sonona, sababisho la ugonjwa , athari zake na tiba kwa ujumla
Naomba unisaidie kunipa ufaamu zaidi juu ya ugonjwa wa afya ya akili ambao usababisha na Sonona, kiini cha sonona, sababisho la ugonjwa , athari zake na tiba kwa ujumla
Mkuu.@Happy Severine Yapo Maradhi mengi yanayotokana na akil nitajaribu kueleza machache tu kwakuanzia na hayo aliyoyasema mkuu.@BayyoNime"google" sonona (depression) kuna maelezo mengi mazuri. Jaribu google utapata hayo yote, sorry cwezi kuyaleta humu make na2mia simu.