Ugonjwa unaokata uume

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,424
Nasikia kuna ugonjwa wa zinaa unaokata uume.

Je ugonjwa huo ni ugonjwa gani? Dalili zake zikoje? Uume hukatika baada ya muda gani? Tiba yake ni nini? Je wanawake wanaathirika vipi na ugonjwa huu?
 
Nasikia kuna ugonjwa wa zinaa unaokata uume.
Je ugonjwa huo ni ugonjwa gani?
Dalili zake zikoje?
Uume hukatika baada ya muda gani?
Tiba yake ni nini?
Je wanawake wanaathirika vipi na ugonjwa huu?
Hakuna kaUgonjwa hako kanakokata Dhakari wewe tibwilika tu na hako kaMilioni kamoja ka kizibo au ni $1,000,000.00
au umeingilia makoloni ya watu nini Bujibuji?

Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana
 
Nasikia kuna ugonjwa wa zinaa unaokata uume.
Je ugonjwa huo ni ugonjwa gani?
Dalili zake zikoje?
Uume hukatika baada ya muda gani?
Tiba yake ni nini?
Je wanawake wanaathirika vipi na ugonjwa huu?

Eeeeeheeeee kama unasababishwa na ngono mmekwisha wanaume
 
Hakuna kaUgonjwa hako kanakokata Dhakari wewe tibwilika tu na hako kaMilioni kamoja ka kizibo au ni $1,000,000.00
au umeingilia makoloni ya watu nini Bujibuji?
Halafu nilikuwa silifahamu jina lako la ukoo, kumbe unaitwa Ukwaju bin Asali??
Sipati picha ya ladha yake, ngoja tumuulize MziziMkavu inatibu nini?
 
Last edited by a moderator:
du kama hili gonjwa lipo, sipati picha itakuwaje,
goja niendelee kufikiria
 
Back
Top Bottom