Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,822
Nasikia kuna ugonjwa wa zinaa unaokata uume.
Je ugonjwa huo ni ugonjwa gani? Dalili zake zikoje? Uume hukatika baada ya muda gani? Tiba yake ni nini? Je wanawake wanaathirika vipi na ugonjwa huu?